Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar
Nimeusoma ule waraka uliosainiwa na Mbarawa.
1. Mbarawa ameandikwa jina lake na cheo chake ndio akasaini.
Yule wa upande wa DP shit jina lake Wala cheo chake havikuwekwa bayana. (Ma CCM huo mtego hawauoni)
2. Nimeusoma waraka mzima sijaona mahali palipoandikwa tutafaidikaje au tutagawiwa asilimia ngapi ya faida itakayotokana na huu uhusiano kausha damu. (Makame Mbarawa Prof. Hakustuka Ila akasaini. Kuna PhD za kununua Kama ya Taletale na ya kasheku, nitakosea nikisema PhD ya Mbarawa aliinunua huko Kariobangi nchini Kenya)?
Mapungufu Ni mengi, kifupi tu nadhani Makame Mbarawa hajui au haelewi lugha ya kiingereza.
Huu waraka ungeandikwa kiswahili nadhani Mbarawa asingesaini.
Hivi Mbarawa hajui kwamba Maritime matters yako kwenye vile vipengele 22 vya muungano? Kuna uwezekano mkubwa kabisa Mbarawa hajaisoma na kuielewa katiba ya Tanzania.
 
Huyo katumwa tu

FB_IMG_1686074170313.jpg
 
Mtu aliyekomaa kabisa kichwani halipi visasi eti kwa sababu fulani na fulani walifanya hivi basi na sisi lazima tufanye vile.

Ni fikra zenye ukosefu wa ustaarabu ndani yake.
Hakuna kulipa kisasi, kila siku husikii wakiisema Tanganyika hata kwa mabaya ya kusingizia?
Mbona hatukuwaona mkilaani !
Juzi tu ACT wakiwa Pemba kauli zao ni za kuashiria shari, kutoridhika n.k.

Kila siku wanalalamika mambo ya muungano kuongezwa ingawa wanatumikia mambo hayo
Kwamba '' Nguruwe ni haramu kwao lakini mchuzi wake ni halali' hii inafika mwisho

Mambo yasiyo ya muungano ni ya Watanganyika tunaheshimu malalamiko yao, wakae pembeni

Mzanzibar akifanya ubaguzi watu kimyaa, Mtanganyika akiongea eti ni ubaguzi.
Ukimya wa Watanganyika ulionekana ujinga hadi watu wanastarehe bili zinaletwa bara! no more

Hapana wameliamsha dude Katika taasisi na mambo yasiyo ya muungano wakae pembeni

Wizara na taasisi zisizo za muungano wang'oke, si kwa chuki ni kwa maombi yao kwamba mambo yasiyo ya muungano yaachwe kwa kila upande.

Hatuhitaji kuwa 'wakoloni' kwa kuajiri makarani, walimu, madaktari, watumishi wa misitu, Tamisemi n.k. kutoka Zanzibar. Wahudumie Zanzibar nafasi zao wapewe Watanganyika. Ni wao wanaomba kila siku, wasikilizwe!

Kura ya maoni waamue kama wanataka au wanondoka,, Tanganyika tupo vizuri tu kwa uamuzi wowote.
Sisi tunahitaji Tanganyika tushughulikie mambo yetu na hatuhitaji kuwa koloni, Katiba mpya haikwepeki
 
Mkuu umekwenda mbali sana. Mada hapa ni mkataba wa DP World na Tanzania.

SSH na Mbarawa wanageuka mada za chuki lakini lengo haswa ni ukubwa na faida za huu mradi.

Tupunguze uoga na kuishi ndani ya eneo tulilolizoea, tunaipenda sana comfort zone yetu na inatubakisha kwenye umaskini wetu.
 
Mkuu umekwenda mbali sana. Mada hapa ni mkataba wa DP World na Tanzania.
Hatujaondoka katika mada. ikiwa mada ni DP mbona Bunge lilitumia muda mwingi kujadili kauli ya mwananchi mmoja anayeitwa Mbowe!

Mbona imesemwa sana kwamba alichosema ni ubaguzi kinyume na tahadhari aliyotoa.

Zanzibar wanaruhusiwa kufanya kila aina ya ubaguzi hadi vitambulisho, maneno machafu kiasi cha kuita Watanganyika wapumbavu na Wakoloni. Hatuwaoni mkikemea.

Zbar wanalaani sana mambo ya muungano kuongezwa, hatuwaoni mkilaani.
Watanganyika wakisema wasikilizeni Wazanzibar waondoeni maeneo yasiyo ys muungano, huo unaitwa Ubaguzi!!! Mzanzibar ana haki sana kuliko Mtanganyika!

Kwanini tunawasi wasi na Mbarawa ! Ziara ya SSH ilisaini mikataba 17 ambayo ni siri.
Huu umevuja ukapelekwa kusafishwa Dodoma. Kwanini rasilimali zetu ziwe siri.

Halafu huko Zbar wametengwa si sehemu ya Tanzania.
Mikopo ya IMF wanapewa 'Mbuzi' na SSH kama wanavyo ji mwambafai . Mlipaji wa mikopo ni Tanganyika.

Halafu tunakumbu kumbu ya AH Mwinyi, kaandika kitabu cha jinsi alivyouza Loliondo.
Hatuna la kumfanya hatuna cha kufanya, Loliondo ni sehemu ya Uarabuni.

IGA ina matatizo mengine sana. Vifungu vipo vipo tu lakini vinavyowalinda hao DP vipo wazi

SSH na Mbarawa wanageuka mada za chuki lakini lengo haswa ni ukubwa na faida za huu mradi.
SSH ni mada kwasababu ni Rais wa nchi!
Kikwete alipouza shirika la Reli, Wahindi wakaja kung'oa mataruma tunamlaani hadi leo.
Mkapa na Netgroup. Mwinyi na Loliondo. JPM na upuuzi wa Chato. Kwanini SSH iwe chuki!

Mbarawa hapaswi kusaini mikataba ya Tanganyika kwasababu wizara yake si jambo la muunganoi. Tuonyeshe Mtanganyika mmoja tu ndani ya Baraza la Mpainduzi au la Wawakilishi au Sheha !
Hakuna chuki hapo, ni ukweli.

Wazanzibar wakiongozwa na Makamu wa ACT na VP wa pili Mh Bw. Othman Masoud Othman( OMO) wanalaani sana kuongezwa mambo ya muungano.

Mh OMO anasema sasa ni zaidi ya 32. Watanganyika tunapaswa kuwasikiliza.

Ondoeni Wazanzibar katika taasisi na Wizara zisizo za muungano kama wanavyotaka wao kuwapunguzi kero za muungano, OMO ni shahidi haya si maneno yangu ni yake.

Hatuna upungufu wa wataalamu tuna vijana wa kutosha wanatembea na bahasha za Khaki.
Ni muda wa kuwaondoa Wazanzibar maeneo yasiyo ya muungano kuwapunguzi kero, tuwasikilize Wazanzibar wana hoja
Tupunguze uoga na kuishi ndani ya eneo tulilolizoea, tunaipenda sana comfort zone yetu na inatubakisha kwenye umaskini wetu.
Netgroup, IPTL, Dowans, Richmond, TRC, NBC, TICKS hizi ndizo comfort zone?

Tumepigwa sana mtuhurumie! Mbarawa ndio kabisaaa anataka kumega pande la Tanganyika awape!

Hapana! Nyerere wa Tanganyika hakuuza, Mwinyi kauza Loliondo, Mkapa , JK, JPM hawakuuza nchi!
 
Umeandika gazeti zima, ukweli ni kwamba SSH hajauza nchi wala hana uwezo wa kuiuza nchi. Kiapo chake pale ikulu hawezi kwenda tofauti nacho.

Kusema kuwa Mwinyi aliuza Loliondo na SSH kauza Bandari ni siasa za vijiweni, ni maneno yanayosemwa kwenye meza za kahawa wakati watu wakitafuta njaa ya chakula cha mchana.

Ni suala la uelewa tu, kuhusu mikataba hiyo 12 iliyosainiwa huko nje. Hakuna rais anayeweza kupata pesa au biashara kwa ajili ya wafanyabiashara wa nchi yake pasipo kuchangamka huko nje. Ni siasa za kijamaa pekee ndizo zinazowalemaza watanzania wakashindwa kufikiria nje ya boksi.

Sipendi kuendekeza siasa za majibizano katika ya viongozi wa Zanzibar na wa bara, hayapo maisha bila ya kuwepo mikwaruzano ya hapa na pale.
 
Naingia kwenye mada haraka iwezekanavyo. Sakata la Wazanzibar kuhusika kuuza bandari ya Dar (mali ya watanganyika) kwa Waarabu wa Dubai kwa bei ya kutupa kunauweka muungano katika hatari ya kumeguka vipande vipande. Na kwa hasira hizi ambazo zimeoneshwa na Watanganyika, naogopa huu muungano unakaribia kukata roho!

Tukumbuke kwamba banadari ni suala la muungano lakini hawa watu wameamua kwa makusudi kuvunja sheria na kuuza bandari ya Tanganyika huku banadari za kwao Zanzibar zikibaki salama. Hii haikubaliki hata kidogo. Wazanzibar ni watu ambao wanapenda kuuza vitu ovyo. Rais Hussein Mwinyi kauza karibu visiwa vyote vya Zanzibar kwa mabeberu. Baada ya kuona amemaliza visiwa vyote nahisi amemshauri mzanzibar mwenzake naye auze bandari ya Tanganyikakwa kwa waarabu.

Kwa kuwa waarabu wanahusishwa na suala la ugaidi, tutarajie nchi yetu kuingia kwenye mizozo ya kigaidi, hasa ukizangatia kwamba serikali ya Tanganyika haitakuwa na mamlaka ya kujua ni nini kinaingia wala kutoka bandarini. Hata kodi watazuiliwa kukusanya. Sio ajabu waarabu wakatumia mwanya huo kupenyeza magaidi na silaha za maangamizi kuja nchini na kuifanya nchi kujaa magaidi kila kona. Matokeo yake magaidi wakishajaa hapa nchini, Marekani itai-label Tanganyika kama nchi ya kigaidi na kuinyima misaada ya kiuchumi. Tutakuwa wageni wa nani jamani?

MAONI YANGU

Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.

Nawasilisha.
 
Acha kukurupuka,amesema sheria iliyoanzisha TPA ndio haihusiki na kusimamia Bandari za Zanzibar so haiwezi kuwepo kwenye makubwa na DP.
 
Ila watu mna roho ngumu,
Haya mambo ya kiserikali na watu wake hayawaharibii mood mkiyafuatilia?
 
Ni juzi alipokuwa Mwanza, aliona umuhimu wa kukumbusha uTanzania wake, kana kwamba watu walikuwa hawajui kwamba yeye ni mTanzania kama sisi wengine wote.
Hakufafanua kwa nini aliona ni muhimu awakumbushe waTanzania juu ya jambo hili, lakini ni sahihi kubashiri kwamba inatokana na swala la mikataba mibaya ambayo ameiasisi na kuisimamia kuhusu Bandari zetu.

Lakini, katika Utanzania huu aliotukumbusha juu yake, inafahamika pia kwamba Samia ni mZanzibari, hili siyo jambo lililojificha, ila kinachofichika kwa wengi ni kuwa baadhi ya waTanzania wenzetu toka huko visiwani, wao wanajitambulisha zaidi kwanza kuwa waZanzibari, na hali inapolazimisha, kama ilivyo kwa Samia (kushika uongozi wa nchi), inakuwa lazima waonyeshe uTanzania wao, mara nyingi kama sifa ya pili, baada ya uZanzibari.

Historia fupi ya utumishi wa Samia katika nyadhifa chache alizowahi kuteuliwa na kuwa katika nafasi za uongozi chini ya Tanzania inaonyesha dhahiri kwamba mambo mengi aliyopigania yalihusu zaidi manufaa kwa Zanzibar.
nafasi zote za utumishi chini ya serikali ya muungano, alipambania maslahi ya Zanzibar dhidi ya Tanzania.

Kwa hiyo, siyo swala la kustaajabisha, katika nafasi yake ya utumishi, katika ngazi ya juu kabisa ya nchi, mwendelezo wa upendeleo huo ukawa unaendelea kumsumbua.

Magufuli alilaumiwa sana na baadhi ya watu kufanya upendeleo kwa kupeleka miradi hata isiyokuwa ya maana kwao, kama mbuga za wanyama, uwanja wa kimataifa wa ndege na mambo mengine. Watetezi wake wakati huo walisema Chato ni sehemu ya Tanzania, pamoja na kuwepo upendeleo uliokuwa wazi. Utetezi huu kidogo uliwanyamazisha baadhi ya wanaohoji.

Katika hili swala la mikataba mibovu ya Bandari, pamoja na kwamba Samia ni kama kaikingia kifua Zanzibar na Bandari zake, tofauti na upendeleo wa Magufuli kwao ni kwamba, sasa hivi hii mikataba ya uwekezaji ni kati ya nchi mbili tofauti kabisa. Kwa hiyo, utetezi wa mikataba mibovu kuilazimisha iwanyonge waTanzania na siyo waZanzibari, inaonyesha kwamba ni katika mwendelezo ulu ule wa tabia ya Samia kujitambulisha kwanza kwa uZanzibari wake, na inavyomlazimu sasa kuwa mTanzania, kama utambulisho wake wa pili na hafifu kuliko ule wa kwanza, ambao ni uZanzibari wake.
 
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

---
MAONI YA WADAU
DP World ndio ile hali ya kuweka picha ya Dunia kama WhatsAp profile?
 
A huge miscalculation by SSH. Watanzania (watanganyika) wameibiwa sana kwa mgongo wa ubinafsishaji, yaani serikali inatumia matrilioni kuwekeza kwenye kitu alafu mwisho wa siku wahuni wachache wanapiga dili na kuuziwa kwa bei za kutupa.

Imetokea tena na tena na tena, ATCL, TTCL, TRC, NBC, mashamba ya serikali, nyumba za serikali, viwanda vya serikali na mengine mengi. Bado CCM haijifunzi tu??

Watu wanamlaumu JPM kuwa alikuwa katili lakini bwana yule alikuwa na akili za kutatua changamoto, akiona sehemu kuna mapungufu basi anaumiza kichwa kuona taitizo ni nini, watu? Mifumo? Sheria? Kisha anajaribu kutatua.
Tatizo lake alishupaza shingo na kuwa one man show,kama angepitisha katiba hakika angekumbukwa vizazi na vizazi.
 
Wizara na taasisi zisizo za muungano wang'oke, si kwa chuki ni kwa maombi yao kwamba mambo yasiyo ya muungano yaachwe kwa kila upande.
Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania. Kwenye uraia wa Tanzania, raia wote wana haki sawa, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, tuna Mtanzania tuu, hivyo hoja hii ni ubaguzi.
P
 
Mapato yatakayotokana na bandari za Tanganyika ni ya muungano na Zanzibar inapata mgao wake achilia mbali mgao wa 4.5% BoT kwa pato linalotokana na rasilimali za Bara.

Sasa hivi Zanzibar wana mpango wa kulipa wajumbe wa nyumba kumi mishahara. Tayari wazee wanalipwa pensheni na waliobaki wanatumia umeme bure. Hapo hawajui gharama za ulinzi , mambo ya ndani na nje au taasisi zingine za muungano.

Huyu Mbarawa anakuwaje waziri wa jambo lisilo la muungano? Sasa Rais wa JMT ni Mzanzibar, Rais wa SMZ ni Mzanzibar na Waziri ni Mzanzibar. Nani anamtetea Mtanganyika kwa usawa huo.

Uuzwaji wa bandari hauna uchungu isipokuwa kwa Watanganyika.
Nyerere, Mkapa, Kikwete , JPM walijua hilo hawakuwahi kufikiria. Walijua ni rasilimali na hazina za Watanganyika
Mwinyi aliuza Loliondo ''ujombani'' akiwa na Waziri Diria. Historia bwana!

JokaKuu Pascal Mayalla
Anae fahamu historia ya madame ,wazazi wake atujuze.
 
Back
Top Bottom