Nimeusoma ule waraka uliosainiwa na Mbarawa.
1. Mbarawa ameandikwa jina lake na cheo chake ndio akasaini.
Yule wa upande wa DP shit jina lake Wala cheo chake havikuwekwa bayana. (Ma CCM huo mtego hawauoni)
2. Nimeusoma waraka mzima sijaona mahali palipoandikwa tutafaidikaje au tutagawiwa asilimia ngapi ya faida itakayotokana na huu uhusiano kausha damu. (Makame Mbarawa Prof. Hakustuka Ila akasaini. Kuna PhD za kununua Kama ya Taletale na ya kasheku, nitakosea nikisema PhD ya Mbarawa aliinunua huko Kariobangi nchini Kenya)?
Mapungufu Ni mengi, kifupi tu nadhani Makame Mbarawa hajui au haelewi lugha ya kiingereza.
Huu waraka ungeandikwa kiswahili nadhani Mbarawa asingesaini.
Hivi Mbarawa hajui kwamba Maritime matters yako kwenye vile vipengele 22 vya muungano? Kuna uwezekano mkubwa kabisa Mbarawa hajaisoma na kuielewa katiba ya Tanzania.