Thanks for sharing
 
Hakimi analipa kwa kuwa mama yake alimlea kwa tabu (ni deni)

Mimi nilisomeshwa na sister baada ya kupata kazi akawa ananidai pesa zake ambazo nikampa 10 million cash then namsomeshea watoto wake watatu
 

Diamond na yeye mali zake kamuandikisha bi sandra??
Wapi anko shamteee[emoji23][emoji23]
 
Kwanza mdogo wetu alioa lishangazi. 24 kwa 36? Aah weee.. bora apaye size yake[emoji23][emoji23]
Nimefurahi zaidi hiyo kesi ya kustage ya raping imebuma. Sisi wanawake ni sweet evils i swear... sijui shogake saa hizi anaiweka wapi sura yake
 
Hujasikia upande wa pili.....as yule dada na alivyomsaidia kufika hapo akiwa ulaya .....nadhani ana deserve amlipe waachane kwa amani..sidhanikama dada ana shida kivile ni mrembo no 1 Spain....amemlea dogo from 19yrs to 24 yrs leo Dada ana 36 yrs sasa
 
Kabisa Auntie hawachelewi kupandishwa cheo kwa mwamposa kisa sadaka nene.

Hapa najiuliza ile michezo ya kodi hispania watamdai nani kati ya hakimi na Mama yake😂😂😂😂😂
 
Kutangaza na kufunga ni vitu viwili tofauti,Hawezi kufunga ndoa labda mama yake awe amekufa. Ronaldo anamsikiliza mama yake kuliko mtu yeyote hapa duniani.Mama yake alishakataa CR7 kufunga ndoa na Georgina.
Kwani Georgina ana shida gani? Namuonaga yuko cool sana
 
Amemlea wapi mkuu acheni hizo hapa halambi hata Mia kama anajiweza angeondoka kimya kimya
 
Inategemea! Mwanamke azikute Mali,au Mali zimkute Mwanamke ndani!! Kwa issue ya huyo Dada, Mali alizikuta kitambo tu!!
 
Amemlea wapi mkuu acheni hizo hapa halambi hata Mia kama anajiweza angeondoka kimya kimya
Unafikiria amepaa akadondoka ulaya ? Mafanikio yako laizma tunachangia na watu .....hizo hasira tu lakini ukweli upo dada anastahiki chake ....na wana mtoto piaa ....hapo utasemaje ? Child support kwa sana lazima
 
Unafikiria amepaa akadondoka ulaya ? Mafanikio yako laizma tunachangia na watu .....hizo hasira tu lakini ukweli upo dada anastahiki chake ....na wana mtoto piaa ....hapo utasemaje ? Child support kwa sana lazima
Child support amcheki Bibi ( 075463636364) jina linakuja mama achraf [emoji23]
 
Kumbe Dada nae ni tajiri mpigaji!!?? Basi vibuyu vimeumana!!
 
Kuna mwamba Iringa aliona kashanasa kwenye mtego wa kugawana mali, anataka kumuacha mkewe Ila akiwaza mali pasu kwa pasu ikawa inamuwazisha sana, akamset waifu kuwa wauze mali zote wahamie dar kuanza maisha upya, mke bila kujua akawa analeta hadi wateja. Ile wanamalizia kuuza kijiko jamaa kaenda dar baada ya wiki karudi anaanza kulia pesa zote katapeliwa na haikuchukua muda kamtwanga talaka mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…