Sasa akiachana na Shamte hawatagawana mali?
Mali ambazo sio zake unamjua next kin ni nani kama ni yeye mond esma au tiffa au kasha toa zawadi kwa orphans izo Mali kazikuta Au wametafuta pamoja bongo zima inajua, hatakama wanandoa halali Mali za dogo hazi muhusu uyo uncle midevu.
 
sijui unaelewa sasa Bora nini jasho lako wale ndugu zako au slay queen asepe nazo akalishe vibenten wengine akuache masikini kama jamaa wa nigeria Abue alivokomeshwa na slay queen, una wenge
 


Off course itabidi kuangalia akili ya mama na nyendo zake.

Ukishaona ana akili ya kusimamia hivyo utamwandikisha kama mmiliki lakini utakuwa unamfuatilia kwa Karibu uaminifu wake na mengineyo.

Siyo mama wote wana akili kubwa! Wengine wehu tu na vilaza ! [emoji108]
 



Ni kuwahiana tu.

Kuna wanaume wengine nao huwa wanawake zao wanawawahi kama hivyo kinyume chake.

Wapo wanawake wanapotaka kuachana wanajifanya kuleta mteja wa bei ya chini halafu anampa presha Mwanaume auze kwa haraka yeye anataka kuondoka,

Kumbe mwanamke ameenda kukopa vijisent anainunua yeye kwa mgongo wa nyuma baada ya muda mfupi ukweli unajulikana kuwa kanunua mwanamke wake!

Kisha mwanamke akijua kule waliko ni asili ya kwao Na mtalaka wake anatafuta mteja kwa bei ya soko anauza anasepa mkoa huo anaenda na Kuhama kikazi mazima [emoji108][emoji108]

Wanawake wa kichaga wanaifanya hiyo kwa sana tu!
 
Sema sasa bado unamkojoleaga mkuuu au ushaacha dhambi hiyi
Ila we jamaa mmbea Sana 🀣 nipo nae mbona yangu ni clear kabisa huyo dada hana Tena mahusiano na Mumewe in short mahusiano yameshakufa na mpaka Leo yupo kwao na sasa hivi yupo kwenye harakati ya kutaka kupanga so usinifananishe na hao wanaokula wake za watu wakati wanajua kabisa wanaishi kwenye ndoa
 
Utasikia wanawake wanaambiana mzalie Mtoto Au watoto umkamate moyo na akili yake kisha hapo na Mali zake zote zitakuwa zako !

Na wengine wanazani mali ni za watoto lakini mama akiwa na watoto anawaambia ni zake yeye mama !

Na ikitokea mume kutangulizwa ndio baaasi mwanamke anajimilikisha na kuwa mkali kwa watoto.
 
sijui unaelewa sasa Bora nini jasho lako wale ndugu zako au slay queen asepe nazo akalishe vibenten wengine akuache masikini kama jamaa wa nigeria Abue alivokomeshwa na slay queen, una wenge
Aliwa mama yako alizaa na wanaume tofauti tofauti na hamelewani.
Akiondoka utakuhali wachukue mali zako
 
Oh ok mkuuu endelea kumkojolea akuzalie watoto huyo 😁😁😁

Ila ana matako sasa au ni,,,,,,,, mifupaa tu
 
Oh ok mkuuu endelea kumkojolea akuzalie watoto huyo 😁😁😁

Ila ana matako sasa au ni,,,,,,,, mifupaa tu
Manzi yupo full package ndio maana sina hata demu mwingine ukiachana na yeye kila idara yupo poa mzuri wa sura haitaji make up ndio awe mzuri macho yake,tabasamu lake inanivutia, ana tako kubwa, kifuani kajaaliwa. Ana upendo wa dhati huyu manzi ile mbaya hata nikiwa sina hela ananivumilia na wala aninunii muelewa,ataniomba hela pale tu akiwa na uhitaji Tena inaweza kutokea mara 2 au 3 kwa mwezi ni aina ya manzi ninajikuta na muhudumia hata bila kuniomba hela na moyo wangu unabaki unafuraha
 
Kongole kwako mkuuu πŸ‘πŸ‘πŸ‘ usiliache zari hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…