Roho mbaya tu wewe unadhani kulea watoto kazi ndogo pengine kachangia kwenye hizo Mali😬
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimejiunga JF, leo ndio nmeona comments zinazokubalika.

Ule usemi wa 'ukiona watanzania wengi wanakuunga mkono, ujue hicho kitu ni kibaya' huo usemi kwa hapa umevunjwa rasmi.

Wanaume tunatakiwa kuweka hiyo pics kwenye wasap status zetu au ikiwezekana tuwatumie wanawake wote hata kama sio mpenzi wako.
 
Roho mbaya tu wewe unadhani kulea watoto kazi ndogo pengine kachangia kwenye hizo Mali😬
wewe huyo atauwa alishaona kuwa huyu mwananmke anataka kusepa na mali.

mwanaume akikuona umekaa kimaslahi lazima ajiongeze.

sasa kulea mtoto nyie wenyewe sii mnatakaga watoto. mbona kidume mzabzab akisema njoo nikuoe alafu tutulie tuu tuwe tonagegedana bila watoto mnakataa. yeye ashukuru kapata watoto jamaa atawahudumia jumlisha na yeye.

mama anakula kuku kwa mlija tuu sasa
 
Emanuel Ebour aliweka kila kitu Kwa mwanamke wake mzungu akapoteza Mali zake zote baada ya talaka.
Hakimi ni role model Kwa wanaume wote duniani
sasa ni mwendo wa kuandika jina la mama tuu.
sasa dawa hapo ni mke kuwa besty ya mama 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Kesi bado haijaisha lakini bibie anaweza kupindua meza hii ajabu Mali kuandikishwa Mama mzaa chema ngoja nianze na mimi kuchunguza hizi karatasi kaandika kwa jina langu au😬😁😁😁
 
Yaani Wanaume siku hizi mmekuwa matapeli wa mali dah😬😬😬
Mimi ndo kauzu mwenyewe nafanya Kila kitu Kwa Siri bila Mwanamke kufahamu, nasema vichache sana huku nikicheza karata zangu, bad boys ni wanaume ambao wanatumia akili kuliko hisia.
Emanuel Eboue ni maskini kwa Sasa baada kuandika majina ya mke wake kwenye Mali zake, mwanamke akataka divorce akapata, sasahivi ana matatizo ya akili, wana -Arsenal wanamkumbuka jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…