Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Nimeshangaa sana.

JPM aliteua Mawaziri wawilitu toka Mkoa wake Geita. Mh Biteko na Mhe Kalemani. Lakini ilikua Nongwa maneno yalisemwa kua anapendelea kwao.

Leo Samia ambaye iko wazi ni timu ya Kikwete kateua Mawaziri watano toka Mkoa wa pwani kwao Bw Prof Kikwete na Mawaziri wengine 3 toka Mkoa jirani wa Tanga sioni kelele yoyote.

Binafsi sijaelewa shida ni Nini? Ni chuki dhidi ya Wasukuma ama dhidi ya Magufuli ama dhidi ya Kanda ya Ziwa nzima.

Asante.
 
Jadili issues usijadili watu.
 
Wote wakiwa Mawaziri, Wabunge watafanya kazi gani?
 
Makundi ya CCM safari hii yameibuka mapema, na yako wazi sio siri.
Ndicho wanachopenda ^war-who-knee^! Hawawezi hata siku moja kukaa wala kufurahia amani, utulivu na umoja. Mtaji wao mkubwa ni mfarakano, migongano, ugomvi, na usaliti.

#^Car-taaWar-who-knee!^
 
Kwani Kikwete ni Rais?
 
Zile zilikuwa ni propaganda dhidi ya Magufuli, na bado zinaendelea sababu pamoja na kwamba ni marehemu kivuli chake kinawatisha. Ndiyo mana walipoona kumpaka matope ya kupendelea mkoa hakuna mashiko, wakajaribu matope ya kabila nayo yakakosa uhalisia, wakaamua kutumia shutuma ya ajabu- kupendelea kanda!
 
2020 kulikuwa na waislamu 4 tu kati 23 na hakukuwa na waziri wala naibu toka Zanzibar watu walipohoji waliambiwa Rais ateuwi kwa kuangalia dini wa kabila lakini sasa mnaanza maneno maneno.
Acha uongo lete list nzima tuone kama hutaaibika kwa uongo wako.
 
Ukiangalia mchango wa kila mkoa kwenye pato la Taifa Pwani haimo ila ina mawaziri 5.
1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)
2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)
3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)
4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)
5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)
6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)
7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)
8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)
9. Geita = 6,211,376 (4.4%)
10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%

Kanda ya Ziwa ina mikoa 3 kwenye top 10 lakini mawaziri kamili 2 ama 3, pwani ina mawaziri 5 wakati hata top 15 haimo.

Watu wa kanda ya ziwa ni kumkataa huyu mama asubuhi.
 
Mtoa mada kajitafakari. Kwa mwenye akili kishakudharau tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…