Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaramo gang Mambo magumu hawawezi Labda kukopa na kutembeza na umbeya pamoja na taarabu.Tulilaumu, tena sana.
Limetoka Sukuma Gang, sasa limeingia Zaramo Gang.
Kwa kweli inauma sana mkuu.Nasikitika kuona naongozwa tena na jakaya kikwete, nina mkosi mie
Jadili issues usijadili watu.1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Wote wakiwa Mawaziri, Wabunge watafanya kazi gani?Mkoa mzima wa Arusha kuna naibu waziri mmoja tu;
Mkoa mzima wa Manyara kuna naibu waziri mmoja tu.
Hivi mkoa wa Morogoro kuna naibu waziri hata mmoja?
Mkoa wa Tanga kuna mawaziri watatu.
Mkoa wa Pwani ndio kama alivyoonyesha mleta mada.
Hivi tunapeleka wapi nchi katika pande hizo za kisiasa?
Badala ya kurekebisha makosa tunaendeleza kwa kulipisa kisasi?
Tunataka kuwaachia watoto na wajukuu nchi ya namna gani?
Ndicho wanachopenda ^war-who-knee^! Hawawezi hata siku moja kukaa wala kufurahia amani, utulivu na umoja. Mtaji wao mkubwa ni mfarakano, migongano, ugomvi, na usaliti.Makundi ya CCM safari hii yameibuka mapema, na yako wazi sio siri.
Sukuma gang
Pwani inahusiana vipi kama sio mnaleta ukabira..Watu wajinga km wewe ndio mnaharibu nchi,sukuma gang ndio kitu gani umejibu hoja?
Mh. Jumanne Sagini ni wapi labda?Mkoa mzima wa Mara hauna hata naibu Waziri, hii ni dharau kwa Hayati JK Nyerere
Kwani Kikwete ni Rais?Nimeshangaa sana.
JPM aliteua Mawaziri wawilitu toka Mkoa wake Geita. Mh Biteko na Mhe Kalemani. Lakini ilikua Nongwa maneno yalisemwa kua anapendelea kwao.
Leo Samia ambaye iko wazi ni timu ya Kikwete kateua Mawaziri watano toka Mkoa wa pwani kwao Bw Prof Kikwete na Mawaziri wengine 3 toka Mkoa jirani wa Tanga sioni kelele yoyote.
Binafsi sijaelewa shida ni Nini? Ni chuki dhidi ya Wasukuma ama dhidi ya Magufuli ama dhidi ya Kanda ya Ziwa nzima.
Asante.
Ww hujui Rais ni JK huyu Samia si ni kivuli Cha msogaKwani Kikwete ni Rais?
Zile zilikuwa ni propaganda dhidi ya Magufuli, na bado zinaendelea sababu pamoja na kwamba ni marehemu kivuli chake kinawatisha. Ndiyo mana walipoona kumpaka matope ya kupendelea mkoa hakuna mashiko, wakajaribu matope ya kabila nayo yakakosa uhalisia, wakaamua kutumia shutuma ya ajabu- kupendelea kanda!Nimeshangaa sana.
JPM aliteua Mawaziri wawilitu toka Mkoa wake Geita. Mh Biteko na Mhe Kalemani. Lakini ilikua Nongwa maneno yalisemwa kua anapendelea kwao.
Leo Samia ambaye iko wazi ni timu ya Kikwete kateua Mawaziri watano toka Mkoa wa pwani kwao Bw Prof Kikwete na Mawaziri wengine 3 toka Mkoa jirani wa Tanga sioni kelele yoyote.
Binafsi sijaelewa shida ni Nini? Ni chuki dhidi ya Wasukuma ama dhidi ya Magufuli ama dhidi ya Kanda ya Ziwa nzima.
Asante.
Acha uongo lete list nzima tuone kama hutaaibika kwa uongo wako.2020 kulikuwa na waislamu 4 tu kati 23 na hakukuwa na waziri wala naibu toka Zanzibar watu walipohoji waliambiwa Rais ateuwi kwa kuangalia dini wa kabila lakini sasa mnaanza maneno maneno.
Ukiangalia mchango wa kila mkoa kwenye pato la Taifa Pwani haimo ila ina mawaziri 5.Nimeshangaa sana.
JPM aliteua Mawaziri wawilitu toka Mkoa wake Geita. Mh Biteko na Mhe Kalemani. Lakini ilikua Nongwa maneno yalisemwa kua anapendelea kwao.
Leo Samia ambaye iko wazi ni timu ya Kikwete kateua Mawaziri watano toka Mkoa wa pwani kwao Bw Prof Kikwete na Mawaziri wengine 3 toka Mkoa jirani wa Tanga sioni kelele yoyote.
Binafsi sijaelewa shida ni Nini? Ni chuki dhidi ya Wasukuma ama dhidi ya Magufuli ama dhidi ya Kanda ya Ziwa nzima.
Asante.
Pwani inahusiana vipi kama sio mnaleta ukabira..
Mtoa mada kajitafakari. Kwa mwenye akili kishakudharau tayari.1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze