Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Ukweli mchungu ndio huo mwingne ni kivuli tu
Wajinga ndio utawaaminisha huu ujinga.
Hata wakati wa mwendazake mlisema PK ndio anampa JPM mbinu za uongozi. Watanzania hawana jema.
 
Harafu bado kuna watu wanafurahia eti kuondolewa kwa kundi sijui wao wanaita sukuma Gang.
Wakati kwa sasa uteuzi unajikita pwani pwani ila wametulia tu
 
Kwani kijiji cha Msoga kiko mkoa gani?
 
Huyu mama ni pigo kwa taifa
 
Hapa haizungumziwi kanda bali ni mkoa mmoja wa Pwani mawaziri watano. Hiyo ndio hoja ya mtoa uzi.
Nimemuelewa mtoa mada na ndio maana nikasema kwa mkoa mmoja umetoa mawaziri 5 na hawazungumzi ila ingekuwa kanda ya ziwa labda tuseme Mwanza itoe hata mawaziri wa 3 hapo kelele zingekuwa nyingi sana.
 
Nimemuelewa mtoa mada na ndio maana nikasema kwa mkoa mmoja umetoa mawaziri 5 na hawazungumzi ila ingekuwa kanda ya ziwa labda tuseme Mwanza itoe hata mawaziri wa 3 hapo kelele zingekuwa nyingi sana.
Ww. Watu wangeloga Hadi anga. Mwanza haikua na Waziri kamili walisema. Note enzi za JPM Mwanza ilikua na Naibu tu Mama Dkt Mabula ila ilikua shida.
Vipi Mwanza iwe na Mawaziri 5 haha du hata Dua zingesomwa kabisa.
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Kaa kwa kutulia......hayo mambo unayasema leo.....hukuyaona huko nyuma?Kawaida kila kiongozi anafanya kazi kwa ukaribu na watu anaowajua kwanza....ikifika zamu yako na ww teua ndg zako na muda wako pia utaisha watakuja wengine......nyie si ndio mnasema watu wa Pwani hawajasoma kazi kucheza ngoma?sasa tulia hiyo ndo ngoma inachezwa sasa.....
 
Kwa nini usiseme mawziri wawili (2) na manaibu watatu(3), tunatia chumvi sana watanzania!
 
Ww. Watu wangeloga Hadi anga. Mwanza haikua na Waziri kamili walisema. Note enzi za JPM Mwanza ilikua na Naibu tu Mama Dkt Mabula ila ilikua shida.
Vipi Mwanza iwe na Mawaziri 5 haha du hata Dua zingesomwa kabisa.
Hapo ndio Watu hujisahau na kuanza kukosoa upande mmoja wakiamini ni kundi fulani ila kwao wanajisahau kuzungumzia.
 
Waambie hayo watoto wenzio!
 
Msimlaumu sana kwani pengine hiyo orodha kaandikiwa kazi yake ilikuwa kutangaza tu. #Timu Msoga
 
Mwenzio anaongelea mkoa mmoja wewe unaongelea kanda nzima. Una akili kweli wewe? Haya basi mkoa wa Mara unamepata Naibu Waziri Sagini basi.
Hebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...

Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…