tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Wajinga ndio utawaaminisha huu ujinga.Ww hujui Rais ni JK huyu Samia si ni kivuli Cha msoga
Hata wakati wa mwendazake mlisema PK ndio anampa JPM mbinu za uongozi. Watanzania hawana jema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga ndio utawaaminisha huu ujinga.Ww hujui Rais ni JK huyu Samia si ni kivuli Cha msoga
Wajinga ndio utawaaminisha huu ujinga.
Hata wakati wa mwendazake mlisema PK ndio anampa JPM mbinu za uongozi. Watanzania hawana jema.
Harafu bado kuna watu wanafurahia eti kuondolewa kwa kundi sijui wao wanaita sukuma Gang.Wangekua Kanda ya Ziwa Mkoa mmoja Mawaziri wawili kungenuka hapa. Mfano Mkoa wa Mara hakuna Waziri tangu 2020 siyo issue. Mkoa wa simiyu 1 Shy hakuna Kuna naibu, Mwanza wamepata Waziri kamili awamu hii 1. Mkoa wa Geita 1 Waziri.
Pwani 5
Tanga 3.
Assalamualaikum
Kwani kijiji cha Msoga kiko mkoa gani?1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Huyu mama ni pigo kwa taifaUkiangalia mchango wa kila mkoa kwenye pato la Taifa Pwani haimo ila ina mawaziri 5.
1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)
2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)
3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)
4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)
5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)
6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)
7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)
8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)
9. Geita = 6,211,376 (4.4%)
10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%
Kanda ya Ziwa ina mikoa 3 kwenye top 10 lakini mawaziri kamili 2 ama 3, pwani ina mawaziri 5 wakati hata top 15 haimo.
Watu wa kanda ya ziwa ni kumkataa huyu mama asubuhi.
[emoji24][emoji24][emoji24]Ww hujui Rais ni JK huyu Samia si ni kivuli Cha msoga
Nimemuelewa mtoa mada na ndio maana nikasema kwa mkoa mmoja umetoa mawaziri 5 na hawazungumzi ila ingekuwa kanda ya ziwa labda tuseme Mwanza itoe hata mawaziri wa 3 hapo kelele zingekuwa nyingi sana.Hapa haizungumziwi kanda bali ni mkoa mmoja wa Pwani mawaziri watano. Hiyo ndio hoja ya mtoa uzi.
Ww. Watu wangeloga Hadi anga. Mwanza haikua na Waziri kamili walisema. Note enzi za JPM Mwanza ilikua na Naibu tu Mama Dkt Mabula ila ilikua shida.Nimemuelewa mtoa mada na ndio maana nikasema kwa mkoa mmoja umetoa mawaziri 5 na hawazungumzi ila ingekuwa kanda ya ziwa labda tuseme Mwanza itoe hata mawaziri wa 3 hapo kelele zingekuwa nyingi sana.
Kwisha habari yenu..Jifunze kwanza kiswahili usiyejitambua wewe
Kaa kwa kutulia......hayo mambo unayasema leo.....hukuyaona huko nyuma?Kawaida kila kiongozi anafanya kazi kwa ukaribu na watu anaowajua kwanza....ikifika zamu yako na ww teua ndg zako na muda wako pia utaisha watakuja wengine......nyie si ndio mnasema watu wa Pwani hawajasoma kazi kucheza ngoma?sasa tulia hiyo ndo ngoma inachezwa sasa.....Pwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Kwa nini usiseme mawziri wawili (2) na manaibu watatu(3), tunatia chumvi sana watanzania!1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Hapo ndio Watu hujisahau na kuanza kukosoa upande mmoja wakiamini ni kundi fulani ila kwao wanajisahau kuzungumzia.Ww. Watu wangeloga Hadi anga. Mwanza haikua na Waziri kamili walisema. Note enzi za JPM Mwanza ilikua na Naibu tu Mama Dkt Mabula ila ilikua shida.
Vipi Mwanza iwe na Mawaziri 5 haha du hata Dua zingesomwa kabisa.
Waambie hayo watoto wenzio!Kaa kwa kutulia......hayo mambo unayasema leo.....hukuyaona huko nyuma?Kawaida kila kiongozi anafanya kazi kwa ukaribu na watu anaowajua kwanza....ikifika zamu yako na ww teua ndg zako na muda wako pia utaisha watakuja wengine......nyie si ndio mnasema watu wa Pwani hawajasoma kazi kucheza ngoma?sasa tulia hiyo ndo ngoma inachezwa sasa.....
Kwisha habari yenu..
Rais ni Samia.. kaeni vizuri dawa iwaingieUkiwa mjinga jitahidi kukaa na mwerevu wa mambo utabadilika
Rais ni Samia.. kaeni vizuri dawa iwaingie
Nanii kajiita wa pwani.. ona ulivyo mkurupukaji 🤣🤣🤣Wewe unajiita wa pwani kiswahili hujui au umetokea huko porini unafake maisha
Samia ni rais wangu km akili zako zilifikiri tofauti pole
Msimlaumu sana kwani pengine hiyo orodha kaandikiwa kazi yake ilikuwa kutangaza tu. #Timu Msoga1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Nanii kajiita wa pwani.. ona ulivyo mkurupukaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...
Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana