Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Abdallah ulega sio juma

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Naziona vita zinaanza vya ccm wenye na za upizan ndan yake taifa linajadiliwa kwa ukabila kwel tutachelewa
 
Kigoma nao sasa wasemeje maana wana Makamu wa Rais, wana Waziri wa kazi, wana Katibu mkuu kiongozi, wana katibu mkuu wizara ya Fedha, wana katibu mkuu wizara ya Maliasili na utalii kwa uchache tu. Inawezekana wana wengine siwakimhuku. Pwani kupata manaibu imekuwa nongwa? Uongozi hatuangilii wanatoka mkoa gani bali uwezo wao
 
Hofu yangu jenista ataweza utumishi? Mchengerwa alienda vizuri.
 
Arusha kwa sad HV hawana wasomo was kuweleweka sad kina gamb unawapa uwazir au unaibu au kina pallanyo ,Fred lowasa ,Noel limbris amabaye awez ata kuchangia hoja hpn mpk wapeleke wasom kwa kwrl
 
Hisia hizi zinaibuka kutokana navtetesi kuwa nchi inaongozwa kutokea Msoga!
 
Sisi hatujali idadi tunaangalia performance wakifeli 2025 tunawapa tlp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…