Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Hivyo unamaanisha mikoa mingine kama Mara, Shy haina watu wa kuwa Mawaziri ila pwani na Tanga ndiyo wanasifaOnyesha basi hiyo National representation imekosekana wapi? Tuna mikoa 31, hebu tuonyeshe mapungufu yapo wapi?
Tutacheza ngoma hadi viuno viishe mifupaTulilaumu, tena sana.
Limetoka Sukuma Gang, sasa limeingia Zaramo Gang.
Baraza la Mawaziri la Pwani na Zanzibar.Mkoa mzima wa Arusha kuna naibu waziri mmoja tu;
Mkoa mzima wa Manyara kuna naibu waziri mmoja tu.
Hivi mkoa wa Morogoro kuna naibu waziri hata mmoja?
Mkoa wa Tanga kuna mawaziri watatu.
Mkoa wa Pwani ndio kama alivyoonyesha mleta mada.
Hivi tunapeleka wapi nchi katika pande hizo za kisiasa?
Badala ya kurekebisha makosa tunaendeleza kwa kulipisa kisasi?
Tunataka kuwaachia watoto na wajukuu nchi ya namna gani?
Hao wote ni mikoa tofauti. Wasukuma kuwa 4 Mawaziri ni sawa Sukumaland inamikoa mitano so ni eneo kubwa na watu wengi.Enzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
Prof Mkenda ElimuMoshi wako wangapi? Ndio maana nchi haiengelei, tunakuwa na viongozi wasio na utamaduni wa maendeleo
Mara hakuna Waziri? Sagini anatoka Ureno? Shinyanga; Katambi ni wa Ruvuma?Hivyo unamaanisha mikoa mingine kama Mara, Shy haina watu wa kuwa Mawaziri ila pwani na Tanga ndiyo wanasifa
Yaani huyo wa Tamisemi amebugi sanaaa... Imemzidi kimo hiyo...Bora sisi Bukoba tunao Watatu
Kimataifa
Tamisemi
Nishati
Maswali haya mbona hayakuwepo wakati wa bedui au kwa sababu Rais aliyopo ni Mwanamke Mzanzibari tena ni Muislamu?
Uliyowataja ni manaibu wote. Manaibu siyo wajumbe wa mabaraza ya MawaziriMara hakuna Waziri? Sagini anatoka Ureno? Shinyanga; Katambi ni wa Ruvuma?
Sijajua hasa kigezo cha kuteua mawaziri ni nini lakini kuna mikoa haina waziri hata mmoja na mikoa mingine mawaziri 5.
Kwa mfano, mkoa wa Tanga ina mawaziri 3, Pwani ina mawaziri 5 huku mara ikiwa na Naibu waziri mmoja.
Angalia mfano hapa Pwani.
1. Dr. Jaffo..kisarawe
2. Mchengelwa..Rufiji
3. Ridhiwani..Chalinze
4. Ulega..mkuranga
5.kipanga..mafia
Mwanza ni mkoa wa pili kwa pato la Taifa Tanzania, una waziri mmoja wa Ardhi. Je Pwani ni bora sana kuliko Mwanza?
Ukija kwenye utenguliwaji, wote wanaotenguliwa ni wafuasi wa Issa Bim Mariam, Chamriho, Kalemani, Ndungulile, Job Ndugai, Waitara, Lukuvi, Mkumbo, Mwambe, Prof Majalala na wanaoteuliwa wote ni wa Uarabuni.
Ama mama amekuja kuhakikisha watu wa upande wake wanapendelewa?
Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia kiungo gani!!Jenister is the next PM
Mama ana elimu ya diploma tu ila ndio waziri mwenye muda mrefu wa utumishi mjengoni.Nimeamini uchawi upo jamani.Jenister is the next PM
Kuna wakati nawaonea hiruma ccm, ila ukigusa katiba mpya, nasema, ACHA WAISOME NAMBA, maana wanadhani katiba wao haiwahusu.Hakuna palipo andikwa ulazima wa kila mkoa kutoa waziri.
Mwacheni mkuu wa nchi afanye anavyo jisikia maana tukisema tunahitaji katiba mpya mnaanza kumbwela mbweela
Huo ndiyo ujinga uliowaingia akilini mwao.Kuna wakati nawaonea hiruma ccm, ila ukigusa katiba mpya, nasema, ACHA WAISOME NAMBA, maana wanadhani katiba wao haiwahusu.
Umesahau na jirani zao Tanga. Kuna zaidi ya watatu1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?