Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze

2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji

3. Jafo Mbunge wa Kisarawe

4. Kipanga Mbunge wa Mafia

5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga

Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?

Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Watu wa pwani hawana roho mbaya kama wasukuma
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Mbona umemsahau Aweso?
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Usisahau Tanga nao ni kwani tu
 
Huu ni ubaguzi na hatuna budi kuukemea, acha kupandikiza chuki Dada
 
Masopakyindi masopakyindi huu utelezi umetokana na Ubinafsi wa kima kundi, wamesahau kwamba Baraza la mawaziri ni zaidi ya hayo makundi yao, wewe umesema mikoa ya pwani sijajua kwanini Tanga hukuiweka, hizi siasa za maccm zitatupeleka pabaya sana na Huyu mama Itakuja kumgharimu siku moja
Mikoa ya Rukwa na Morogoro haijapata waziri wala naibu hata mmoja. Kama yupo naomba nisahihishwe.
Unachukuaje mawaziri 3 kutoka mkoa wa Tanga, mawaziri na manaibu kutoka majimbo karibia yote ya mkoa wa Pwani
Lkn mikoa ya Morogoro na Rukwa haina hata naibu waziri?
Hilo baraza lina sura ya kitaifa kweli?
Kwani Prof Adolf Mkenda anatoka mkoa upi?
 
Tuna mikoa 26!na wizara zaidi ya 30,na nafasi manaibu zaidi ya 30,kila mkoa ungeweza kuwa na nafasi za uwaziri kuanzia mbili.mama kachemka
Ukifuata hivyo basi kanda ya ziwa yenye mikoa 6 ingekuwa na mawaziri 12.
 
Masopakyindi masopakyindi huu utelezi umetokana na Ubinafsi wa kima kundi, wamesahau kwamba Baraza la mawaziri ni zaidi ya hayo makundi yao, wewe umesema mikoa ya pwani sijajua kwanini Tanga hukuiweka, hizi siasa za maccm zitatupeleka pabaya sana na Huyu mama Itakuja kumgharimu siku moja

Kwani Prof Adolf Mkenda anatoka mkoa upi?
Mkoa wa Kilimanjaro
 
Hakuna mabumunda kwenye wabunge wetu. Haifai kutokuwa na regional representation kwenye baraza.

Huo ndio ulikuwa mila, desturi na utamaduni wetu toka uhuru.

Msipuuzie kwa kupendeleana.
Mkuu viongizi wetu wameanza kusahau hilo.
Madudu yalianza Awamu ya 5.
Sasa kundi lililoingia linaona ni zamu yao.
Tusilee U Salvar Kir na Machar wa South Sudan
 
Mkuu viongizi wetu wameanza kusahau hilo.
Madudu yalianza Awamu ya 5.
Sasa kundi lililoingia linaona ni zamu yao.
Tusilee U Salvar Kir na Machar wa South Sudan
Awamu ya tano kuna mawaziri 5 walitoka mkoa mmoja...?!
 
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze

2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji

3. Jafo Mbunge wa Kisarawe

4. Kipanga Mbunge wa Mafia

5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga

Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?

Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?

Mama ana udini sanaaa...
Kajaza waislamu kibao
 
Back
Top Bottom