The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nauliza hivi,kwani ukitoa Waziri na mwingine asitoe Waziri waliotoa watafaidikaje na wasiotoa wataathirikaje?Tanzania ina mikoa karibu 30, mawaziri ni kama 60. Mkoa mmoja kutoa 5 na mingine kuambulia 0, kilio cha ubaguzi, udini, ukanda, ukabila kitasikika. Na hasa katika nchi ambayo bunge limefunikwa na serikali, na kiongozi serikalini ana uamuzi wa kuhamisha fungu la mradi wa maendeleo toka eneo moja kwenda eneo jingine.
Natoa mfano ,mwaka ujao kuna mradi wa Tactic unaanza awamu ya kwanza ni miji na Manispaa 13 tuu zitakuwemo,Mbona Manispaa ya Sumbawanga itakuwemo ilhali hakuna hata Naibu wala Katibu Mkuu wala Waziri kutoka mkoa huu?
Hizo dhana za kipumbavu zinaendekezwa na wajinga,kwani mkoa wenye mawaziri wengi kuna nini cha maana cha kimaendeleo?