Nyumbani kwao ni pale alipokuwa anaishi, huko kwingine ni nyumbani kwa wazazi wake.Na baada ya kufariki ndo nyumbani kwao ikajengwa nyumba harakaharaka ili kuficha aibu, ukuta unapigwa rangi cement haijakauka, msisahau sana nyumbani
Zinahitaji kubadilikaJamii za wafugaji Maasai, Kurya au Sukuma ni kawaida sana hiyo
Tamani pia kuwa:natamani kuwa kama yeye.
Money
Power
Respect
Wazungu wao wanaoa mke zaidi ya mmoja/mitaala?Wazungu kupitia ukristo wanatudangqnya ndoa moja ili kufanya depopulation
Hapo anapoishi siyo kwao ni kwa watoto wake kwao ni huko kwa wazazi wakeNyumbani kwao ni pale alipokuwa anaishi, huko kwingine ni nyumbani kwa wazazi wake.
Mke mmoja ataweza kukuzalia watoto kumi na tano?Laana kivipi wakati tumeambiwa tukaijaze dunia?
Hiyo hbr imeandikwa na serikali? Si bwege tu km ww ameamua kujiandikia? We andika unachokifahamu kumhusu marehemuNi jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!
Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Hapo alipopanga au kujenga anapoishi na watoto wake na wake zake ndio kwake, kwa wazazi wake ni kwa wazazi wake ambapo wangemuachia urithi endapo wangefariki mapema kabla yake.Hapo anapoishi siyo kwao ni kwa watoto wake kwao ni huko kwa wazazi wake
Nyie ndio wapuuzi mnafuatilia ujingawaafrika ni wapuuzi! Donald Trump huwa anasema ukweli khs mtu mweusi.
JESUS IS LORD & SAVIOR
Mambo ya ajabu sanaKule Kisarawe Mwenyekiti wa Chama wa CCM wa Wilaya, kapelekewa nguzo 40 za umeme kwenda shambani kwake, wakati kijiji kilichopita hizo nguzo wananchi wengi hawana umeme nguzo za kusambaza hakuna.
Watanzania wanapenda habari za udaku.Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!
Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Wao hawana Land resourcesWazungu wao wanaoa mke zaidi ya mmoja/mitaala?
Siku Hizi hatuwasikilizi, very soon napata mtoto mwingine na nitaongeza na Wengine. Niliwahi kutangaza hapa mara kadhaaa kama kuna MWANAMKE anahitaji MTU wa kuzaa nae ila sikupata response yoyote. Napenda Sana watotoWazungu kupitia ukristo wanatudangqnya ndoa moja ili kufanya depopulation
Kuna nchi ya Africa inayokaribia hata kwa mbali Urusi au Canada?Wao hawana Land resources
Nani kasema uzae watoto 15 kwa mke mmoja? Mwamba alifikisha wake wa3Mke mmoja ataweza kukuzalia watoto kumi na tano?
Watoto ni wake...na anawatunza vizuri kuliko unavotunza wako..hayo yalikuwa maisha yake wewe hayakuhusuNi jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!
Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Sasa kama yalikuwa maisha yake wameuambia umma hiyo habari ili iweje?Watoto ni wake...na anawatunza vizuri kuliko unavotunza wako..hayo yalikuwa maisha yake wewe hayakuhusu