Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

😂😂😂😂😂😂😂
Sasa hiyo nguvukazi ilitoka wapi mkuu? Si walizaana sana then wakapunguza kasi ndo graph ikabaki ilivyo leo
Bado hujaelewa mkuu. Kinacho ongelewa hapo ni ratio betwee dependence population na nguvu kazi iliyopo , yani population tegemezi haitakiwi kuzidi nguvu kazi , inapozidi tayari ni kiashiria cha umaskini
 
Kwa kuwa ameshafariki ndani ya miaka mitano nakuhakikishia 10nkati ya 15 watakuwa omba omba. Hata kama una marafiki wa karibu kiasi gani kukusaidia kuwalea au kuwabeba watoto wote 15 sio kazi ndogo. Na hapo kama wanawake wanazaa hivi jua kwamba hawana ajira. Mali alizotafuta ndani ya miaka mitatu zitapotea . Watoto wakiwa wengi ni rahisi watu kujichukulia mali za marehemu. Mfano hai Melau mrema Mahoteli yake yamepigwa mnada. Viwanja vyake 26 vya arusha viliuzwa. Jamaa alikuwa na watoto wengi na kila mwanamke akimzalisha anampa IST. Ila wabongo hatujifunzi tukipata hela zunajiona kama sisi ni Mungu.

View: https://youtu.be/MY034leeQIA ☝️ ☝️ Hapa watu wamejibebea kwa bei chee.

View: https://youtu.be/qykVXXWk12s☝️☝️☝️ Watu washajichukulia vitu.
Ushauri wangu kama unataka kuwa na wanawake na watoto wengi na wanawake wengi achana na kwenda kanisani na misikitini. Inabidi uwe mshirikiana kupita kiasi ikibidi uanze na mila zenu za nyumbani na kila wiki ufanye tambiko. Hii itasaidia kuwaweka pamoja zaidi ya hao ukifa na kila kitu ulichokiacha kinakufa.
 
Alikuwa na wake watatu. Mke mkubwa alifariki nadhani kwenye 2019 au 2020. Kama ulivyosema hao wa pembeni hawana idadi!!!
 
Kwa hiyo wewe unadhani Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO ana mshahara sawa na Mkurugenzi wa Manispaa au Mkurugenzi wa Idara ya Kilimo?
 
Inaonekana hata hufahamu sababu ya China kuwa na 1 child policy enzi hizo!!!
 
Alikuwa hafikirii hata kujenga kwao ?
Hii mentality ya kujenga "kwao" mimi huwa siielewi. Kwake ni pale anapoishi na familia yake. Huko mnakokuita kwao kwani alizaliwa peke yake mpaka apajenge yeye? Huko "kwao" ni kwa mababu na bibi au baba na Mama!! Kwake ni pale alipojenga na kuishi na familia yake!!!
 
Mshahara wa milioni 30 kwa mwezi plus marupufupu + 10% za miradi aiseeee ilitakiwa awe na watoto hata thalatha(30).

Kwamba tukigawa familia 6 za watoto wa 5 kwa siku kila familia inatumia hamsa(50)....means kwa siku laki 3 kwa mwezi milioni 9 bado chenji ya 21m ibabaki,
 
Nashauri serikali kumjengea sanamu kwa kutimiza amri ya Mungu ya kuja kujaza dunia.
 
Ndio MAANA ufisadi wa kipumbavu hauishi....kumbe source ni basic needs
 
Uncle wangu amefariki ana watoto 13. Tisa kati yao wanaishi Ulaya!
Usitetee upumbavu....unakufa umeacha watoto kibao alafu wadogoo......ni bahati kuwa hai ukiwahudumia watoto wote mpaka wajitegemee

Nina ndugu yangu yangu Sasa Kila siku sukari inapanda kwa presha...ni tajir mkubwa kahama ila watoto wametapakaa Kila sehemu na matukio ni Kila siku km SI kwa mama zao basi watoto.....majumba kibao mjini na store kibao za vinywaji Sasa havisaidii vinachochea mitafaruku TU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…