Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

Nchi zilizoendelea zinapaswa kutoa fidia kwa nchi masikini kwani viwanda vyao ndio vinatoa gas nyingi zinazoharibu ozone layer. Tena sio kwa kubembeleza ilibidi iwe ni lazima.
 
Kujikombakomba kwa mabeberu hakuta saidia hizi nchi za bara giza. Daily kulialia.
 
Waharibifu wakubwa wa mazingira upande wa kuharibu tabaka ni hao mabeberu na viwanda vyao,wanapaswa kupunguza emitting poisonous gases,pia kwa sababu wanasababishia ulimwenguni wote majanga wanapaswa Ku finance ili nchi za ulimwengu waweze Ku tibu madhara haya.
 
Tuwaambie kwa madai rasmi kuwa tunadai mali zetu walizopora, hiyo ya kuomba misaada kwa sababu tu walipora rasilimali zetu naona ni upuuzi. Utamuombaje mtu aliyekudhulumu!? Wasalimie hapo Denmark.
 
😍👍
 
Hao wazungu wali tupiga sana wana Gold Reserve nyingi ya Africa, ukipata nafasi wapige

Na bado wanatupiga , mwendazake alituongopea tungenunuliwa NOAH baada ya kulipwa hela za MAKINIKIA lakini kaondoka bila kusema lolote na KABUDI nae amemeza jiwe; sijui walikatiwa ngapi?
Huwezi kuwapiga wazungu kwa kuomba omba hiyo ni legacy ya thinking ya Mkwere ambayo Samia unfortunately anaiendeleza na kuwapa mwanya maadui zake!!! Amini usiamini mama huyo Vasco Dagama is a liability!!!
 
Huu mwandiko wa Kikwete au sauti yake!.🤔
 
Pole,
Unaijuwa Nyanza Construction?🎤🎤
 
😍
 

Samia angetaka financial inclusion asingekubali TOZO kwenye miamala ya Simu ; hii imeawathiri watu wa hali ya chini na haswa akina mama vijijini na hiyo itatumiwa na wapinzani wake kumuangusha!!! Unfortunately, hao wanaomshauri hawamtakii mema. Gavana hana masaada kwa Samia Kwani hamshauri vyema; huyu ni mteule wa mwendazake!!!
 
Wena mkuu andiko lako mantiki ndani yake lakini mkuu, Nchi zetu nyingi za kiafrika , bila misaada unafikili itakuaje , nafikili maneno YAKO angeyaongea pia laki lazima mataifa yaliyoendelea yatusaidie , maana wao pia ni chanzo Cha matatizo aya
Hakuna wanapotusaidia, unapewa mkopo kwa riba na masharti
 
Ninadhani kuhimiza wananchi kutumia majiko ya gesi na kupunguza matumizi ya kuni na mkaa ingekua ni jambo la kujadili ndipo kuomba msaada wa kifedha.
Na serikali ingepunguza gharama za umeme Ili watu wajikite kwenye kupikia na kupunguza kutumia mikaa na kuanzisha kampeni za upandaji miti kitaifa, maana makazi mengi yanaanzishwa bila kuhiniza upandaji miti
 
Mkuu hotuba si wanaandaa wataalamu, sasa kama wataalamu wenyewe majani ya chai hawana critical thinking yoyote tegemea maneno yaleyale ya kuomba kuwekewa chochote kwenye bakuli.....rais anapoenda kwenye mikutano kama ile wataalamu wanatakiwa kukuna vichwa hasa kuandaa hotuba zenye mantiki, siyo hizi za kuimba propaganda za mabeberu na kuomba usaidizi. Lazima nchi kama nchi ieleze mawazo na mitazamo yake kulingana na mazingira na hali yake...​
 
Unaweza kuhimiza wananchi lakini kama hela ya kununua gesi hawana ni kazi bure. Wanaopikia kuni na mkaa siyo wanapikia kuni na mkaa kwa kupenda. Wanafanya hivyo kwa sababu ni uwezo wao. Wangekuwa na uwezo wa kupikia na gesi wangefanya hivyo.
Solutions ni kupunguza gharama za gesi na umeme Ili watu wapikie kwa wingi
 
Hapa ndio mnapojjchanganya
Mama Samia alipokuwa bagamoyo alisema wameweka tozo ili nchi ijiendeshe iache kutegemea mikopo ambayo inakuja na mashrti magumu
Kama mnasema hao matajiri wana pesa za kuleta huku basi ondoeni tozo
 
Nchi bila misaada haiendi ndio maana kina mwigulu walikuja na tozo za miamala mkaanza kulia lia, na ujue budget ya nchi 60% inategemea wahisani Sasa acheni kujilisha upepo serikali ikiongeza Kodi mtaanza kulia ka yatima jangwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…