Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

Kipimo kinauma hiki...

Nina miaka 4 ya ndoa yangu, sijapata mtoto, stress nilipitia ila uzuri mume na wakwe na wifi zangu wananitia moyo.

Mwanzo nilijipa stress sana, ila zikapoa ila Kuna wakati zinarudi...

Hakika kama kuna kitu nilipima nikaumwa na kulazwa emergency ni hiki kipimo cha mirija yaani balaa lake ni hatare...

Jamani usiombe, hadi damu inatoka, alafu majibu yanakuja yanasema upo sawa.

Mungu unikumbuke na wote ambao wanapitia hili la kuchelewa kupata mtoto.
Take heart.. & read Isaiah 60:22
 
Mbona hawakuniambia kama nilikuwa na uchafu, waliniambia kipimo kinaonyesha huna tatizo...

Ila Huwa hawasemi kile kipimo kinauma, maana baada ya kulazwa emergency, nikasikia wakisema mbona hamuwaambii Hawa wanawake kuwa kipimo kinauma...
Hawasemi kama kinauma.yaani kiliuma me nikawaambia niacheni sitaki tena.
Kinauma mnoo.ila Yule dokta aliniambia ukipata maumivu makalii ina maana ilikuwa na uchafu njia haikuwa safi.kama hakuna shida kabisa wanasema hakiumi.

Nimekuuliza umecheki mayai au njoo pm
 
Kipimo kinauma hiki...

Nina miaka 4 ya ndoa yangu, sijapata mtoto, stress nilipitia ila uzuri mume na wakwe na wifi zangu wananitia moyo.

Mwanzo nilijipa stress sana, ila zikapoa ila Kuna wakati zinarudi...

Hakika kama kuna kitu nilipima nikaumwa na kulazwa emergency ni hiki kipimo cha mirija yaani balaa lake ni hatare...

Jamani usiombe, hadi damu inatoka, alafu majibu yanakuja yanasema upo sawa.

Mungu unikumbuke na wote ambao wanapitia hili la kuchelewa kupata mtoto.
Mungu akubariki Donatila
 
Huyo uliyeoa na alipogwa mimba za nje na wenzako lkn akawa anazivhiropoa. Kwa Sasa mayai yameisha na mfuko wa uzazi umeharibika, hatoweza kuzaa tena. Malipo ni hapa hapa.
Sawa mkuu,yy na mungu wake ndo wanajua
 
Yeye kajisifia kuwa kabla ya kuoa alikuwa anapiga mimba za nje kwa siku moja. Sasa hao aliowapiga mimba za nje kwann hakuwaoa? Anajisifia kwa uharibifu??
Mbona unaonekana una mwili mkubwa sana!
Imekuaje akili kisoda ni ulemavu au udumavuu?? Nashindwa kuelewa
 
Kipimo kinauma hiki...

Nina miaka 4 ya ndoa yangu, sijapata mtoto, stress nilipitia ila uzuri mume na wakwe na wifi zangu wananitia moyo.

Mwanzo nilijipa stress sana, ila zikapoa ila Kuna wakati zinarudi...

Hakika kama kuna kitu nilipima nikaumwa na kulazwa emergency ni hiki kipimo cha mirija yaani balaa lake ni hatare...

Jamani usiombe, hadi damu inatoka, alafu majibu yanakuja yanasema upo sawa.

Mungu unikumbuke na wote ambao wanapitia hili la kuchelewa kupata mtoto.
Baada ya mahangaiko na mke wangu tulipima hiki kipimo, aisee aliumia sana. Hatujakata tamaa mwaka wa 5 huu tunahangaika.
Mungu atukumbuke 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom