Ukimjulia mtanzania hupati shida...wewe kuwa bandidu mwanzo mwisho unacho au huna...usitake mazoea ya karibu kabisa!Na ukitoboa ndo wa Kwanza kuomba omba,,
Nilipataga sekeseke la kimaisha mwaka juzi bhana karibu watu wote wa karibu hawakutaka hata kunijua, walivyosikia nimepata mwanaume mwenye uchumi bomba baadhi yao walianza kujipendekeza na nilivyo mstaarabu niliwazawadia block wote sitaki mazoea
Kwahiyo?[emoji849]Lakini si alisema mwanae Hana hadhi ya kusoma TZ? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]aseeAnataka publicity tu huyo. Kwani nani aliye mpeleka huyo mtoto kusomea ACCOUNTANCY huko Ukraine? Aliyempeleka ndio ana wajibu wa kumrudisha ikibidi!! Uhasibu gani huko Ukraine ambao haufundukshiki hapa Bongo?
Halafu asilimia kubwa ya comments ni za wanawakeAcha Kabisaa best mmeshangaa sana ujue!!yaani kuna watu wana mioyo ya kichawi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Wanaongea sana, na wala havinishtui, na nina maringo kweli hata sijivungi,, 😂😂😂Ukimjulia mtanzania hupati shida...wewe kuwa bandidu mwanzo mwisho unacho au huna...usitake mazoea ya karibu kabisa!
Safi sana uliwakomesha, sipati picha wanavyosema now kuwa unariingaa[emoji1787][emoji1787]
Yap nimeona ile taarifa yake address ilikua ya swedenHatuna ubalozi kule, tunawakilishwa na balozi wa tz nchini swideni
Chuki zimewajaaWabongo nawagawa buree, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2131528
[emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]kaka looh!hao wanaume wenye fikra za kike ndo taabu sasa!Huu uzi umejaa comment za chuki na comment za kike kike. Hio inamaanisha wanaocoment chuki ni wanawake wenzake pengine wana hata watoto.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe siku zote, vile vile adui wa jamii ni mwanamke pia. Mambo mengi yanafail unapoanza kushirikisha wanawake au wanaume wenye fikra za kikekike. Hio ni wazi toka dunia iumbwe. Na wanaodai 50/50 kwangu huwa nawaona ni vinyaaa na vichaa tu. The natural order ni mwanamke kuwa submissive.
Mtu mwenye akili timamu hawezi mkandia monalisa sshv, ukiangalia watu wanavyounguzwa kule na mabomu bado kweli una ujasiri wa kuja kuropoka shit hapa.
Zamani tuliaminishwa mwanamke ni kiumbe chenye huruma ila kwa experience yangu wanawake ni makatili saaaana.
NOTE: Dem yyt(plus cocastic) asiniquote sibishani na sindiria.
Poposy anachuki iliyoambatana na wivu mkali sana..Bila kusahau roho mbaya..Wabongo nawagawa buree, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2131528
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poposy anachuki iliyoambatana na wivu mkali sana..Bila kusahau roho mbaya..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan khaaaahChuki zimewajaa
[emoji848]kumbeNi kweli alipata ufadhili wa Global Education Link kwa makubaliano maalum. Siwezi kuyaandika hapa kwa sababu za kisheria lakini sio makubaliano mabaya.
NimeshangaaKumbe hata ninyi wana-ccm kuna muda huwa mnaakili!!!!