Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 508
- 593
"Mwenyekiti na Serikali ya Kijiji hicho nao walikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu". Mwisho wa kunukuuMwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
Kabla hujacomment unajua hali ya wananchi wa hicho kijiji. Au unafikiri vijiji vyote Tanzania vimekaa kama Masaki na Oysterbay?Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,ππΌββοΈππΌββοΈ
Nchi imefunguka ni ukweli usiopingika lakini bado sana wananchi hawajafunguka vichwani mwao. Kwa mfano huyo mume angempeleka mke wake ( ambaye kwa sasa ni marehemu) hospitali, ina maana umauti ungemkuta akiwa hapo OPD akimsubiri mume apate pesa? Asingepewa matibabu halafu alipe deni? (Utaratibu ukoje?)Yuko mdau hapo juu #5 ameuliza lakini naona wachangiaji hatukuelewa undani wa swali lake.Maisha yamekuwa magumu mara 100 pamoja na watu kusema nchi imefunguka!
Nina wasiwasi na huyo mwanaume. Inawezekana hana mahusiano mazuri na jamii inayomzunguka, labda ana kaujeuri fulani au alikuwa ametamania siku nyingi aachane na mke wake kimtindo.Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,ππΌββοΈππΌββοΈ
Nchi imefunguka ni ukweli usiopingika lakini bado sana wananchi hawajafunguka vichwani mwao. Kwa mfano huyo mume angempeleka mke wake ( ambaye kwa sasa ni marehemu) hospitali, ina maana umauti ungemkuta akiwa hapo OPD akimsubiri mume apate pesa? Asingepewa matibabu halafu alipe deni? (Utaratibu ukoje?)Yuko mdau hapo juu #5 ameuliza lakini naona wachangiaji hatukuelewa undani wa swali lake.
Kabla hujacomment unajua hali ya wananchi wa hicho kijiji. Au unafikiri vijiji vyote Tanzania vimekaa kama Masaki na Oysterbay?
Ukiacha Masaki na Oysterbay(ambapo kwa mtizamo wako ndo ulitaja kana kwamba ni mahali bora zaidi pa kutolea mfano), vijijini huku kwetu tuna mahusiano ya kushirikiana, kusaidiana, kujaliana kwa mambo mengi- kwa raha na shida. Hata kama umaskini huku vijijini ndiko ulikotamalaki, lakini tuna ubinadamu zaidi. Huyo mwamba alikuwa na lake.Kabla hujacomment unajua hali ya wananchi wa hicho kijiji. Au unafikiri vijiji vyote Tanzania vimekaa kama Masaki na Oysterbay?
PEOPLE ONLY CARE WHEN YOU ARE RICH, POPULAR OR DEADHalaf hapo watachanga pesa ya mchele wapike msiban
Hakuna kitu kama hicho,ingawa lazima uulizwe kama una pesa, na wakigundua kuwa huna,sidhani kama watakuacha ufe,labda wahudumu wawe na roho mbaya...Hivi ukienda Hospital unaambiwa utoe ela kwanza ndipo utibiwe ?
Yaani mwenyekiti wa kijiji anasema kirahisirahisi hivyo! Alishindwa kuchangisha pesa kutoka kwa viongozi au kupata msamaha toka serikalini! Hakuweza kujaribu njia yoyote ili aokoe maisha ya huyo mama! Sidhani watu wote huko kama ni wakatili hivyo.Marehemu Happiness kasmiry kutoka kijiji cha Usari wilaya ya Moshi. Alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa la John alihakangaika kutafuta pesa ya kumpeleka Hospital kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Mume wa marehemu amesema alikuwa anakabiliwa na ukata mkubwa kutokana na kumuhudumia mama yake mzazi ambae amepooza upande mmoja wa mwili.
Marehemu ameacha watoto watatu wadogo. Mwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
Kifo akizuiliki lakini bora wangempeleka hospitali hajafika huko hata kwa kuweka shamba rehaniMarehemu Happiness kasmiry kutoka kijiji cha Usari wilaya ya Moshi. Alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa la John alihakangaika kutafuta pesa ya kumpeleka Hospital kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Mume wa marehemu amesema alikuwa anakabiliwa na ukata mkubwa kutokana na kumuhudumia mama yake mzazi ambae amepooza upande mmoja wa mwili.
Marehemu ameacha watoto watatu wadogo. Mwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
Ndio maanakeHivi ukienda Hospital unaambiwa utoe ela kwanza ndipo utibiwe ?
Ingekuwa sherehe wangechangangia bora mume angweka shamba poniWatu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Wanajifanya hawaelewi,Hivi nyie mmefanikiwa hata kuishi kijijini kweli, au ni story tu mnasikia? Upatikanaji wa pesa kijijini ni mdogo sana, ukisikia mtu fukara ni fukara kweli.
Kama kweli hivo ndivyo ilivyotokea; basi Mwenyekiti na Serikali ya Kijiji hicho wawajibike haraka kwa kujiuzulu kwani hawatoshi katika nafasi hiyo."Mwenyekiti na Seriklai ya Kijiji hicho nao walikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu". Mwisho wa kunukuu
Hata mazishi yake watachangishaWatu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,[emoji2301][emoji2301]
Nina wasiwasi na huyo mwanaume. Inawezekana hana mahusiano mazuri na jamii inayomzunguka, labda ana kaujeuri fulani au alikuwa ametamania siku nyingi aachane na mke wake kimtindo.