Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Wapiga Kura wengi Siku ya Kupiga Kura huwa hawataki na wala hawapendi sana 'Kujichosha' na huwapigia wa Kwanza na wa Mwisho ataachwa tu.
Uzuri wa safari hii wapiga kura walishachoshwa sana kwa miaka mitano, kwa hiyo hawawezi kushindwa kujichosha tu siku yenyewe ikifika kwa kuweka alama ya vema kwa yule wanayemtaka.
 
Mpangilio wa alphabeti ndiyo ambao unakubalika kimataifa. Sijui hii imekaaje! Ila busara na hekima hutupa mantiki ya kuwa aliye wa kwanza huja kuwa wa mwisho, na wa mwisho huwa ni wa kwanza.
Mwaka huu itakuwa zaidi ya Jecha. Huyu Mahela aneshaonyesha mwelekeo wake mspema sana....!!
 
Ni kweli kabisa, uzuri wapiga kura wote wa cdm wanajua kusoma. Hivyo hata cdm ikiwa nyuma ya karatasi watu watapeleka moto huko huko.
Huu mfumo walifanya kukomoa ila ndo mtamu ,ni mwendo wa kusema weka tiki wa mwisho
 
Uzuri wa safari hii wapiga kura walishachoshwa sana kwa miaka mitano, kwa hiyo hawawezi kushindwa kujichosha tu siku yenyewe ikifika kwa kuweka alama ya vema kwa yule wanayemtaka.
Kweli mmeamua mwaka huu japo 'Ushindi' utarudi kule kule kwa aliyenacho / aliyepewa kama ambavyo hata Vitabu vya Mungu vimeelezea vyema.
 
Huu mpangilio mzuri sana, wao walijifanya kukomoa ila unawaambia laymen kuwa tiki yule wa mwisho. Angepachikwa katikati ingeleta ugumu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huu mpangilio mzuri sana, wao walijifanya kukomoa ila unawaambia laymen kuwa tiki yule wa mwisho. Angepachikwa katikati ingeleta ugumu.
Kabisa, ili kumkomoa Lissu, wangeiweka chadema katikati, kuiweka chadema mwishoni ni sawa na kumpiga chura teke.
 
Mkuu ukijibiwa kwa hoja hata moja yenye mashiko ntatembea bila nguo.
 
Hapa wasimamizi mnaraha sana mfano kama mtu hajui kusoma anakuuliza unamwambia tu "weka tu huko mwishoni"
 
Kiwewe cha kushindwa? Au kitete?
 
CHADEMA waambieni wapiga kura wawe makini. Haya majangili wametoa huo kama mfano, kuna watu wataondoka nayo akilini wakijua CHADEMA ni ya mwisho, kwenye karayasi halisi ikawekwa katikati
 
Na mwaka huu wamefanya hivyohivyo kwa ACT Wazalendo kule Zenj.
 
Wakati wa kupiga kura itakua inaonekana nani na mani wamempigia kura lissu au magu.

Sasa wale wasaliti waliowekewa waangalizi taarifa tutakua nazo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…