DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu usifanye hivyo!! Kura itaharibika!!Wameamua kuwaweka wapinzani wawili mbalimbali ili wale watu wanaotetemeka wasije kukosea kupiga tiki.
Tarehe 28 nikiingia chumba Cha kupigia kura, nachukua kalamu, pale namba moja nachora zombie halafu tiki napiga chini kabisaaa.(natania tu)
hii ni hujuma tu,iweje jina la Lissu liwe la mwisho. ili mpiga kura asumbuke kulipata
Liendeeeee!!Wanajaribu ku-capitalize kwenye ujinga wa wapigakura ulitengezwa na CCM yenyewe! Hili lichama liongoke tu sasa. Hakuna namna...
Wameamua kuwaweka wapinzani wawili mbalimbali ili wale watu wanaotetemeka wasije kukosea kupiga tiki.
Tarehe 28 nikiingia chumba Cha kupigia kura, nachukua kalamu, pale namba moja nachora zombie halafu tiki napiga chini kabisaaa.(natania tu)
Mnama lazima apatikane wa kuwekwa mwisho alafu muda mwingine tukomplein mambo yenye tija sio Kila kitu kinachofanywa na tume Ni kibaya
Does it really matter?
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Umefikiri tofauti.nia yao itajulikana tu.KUWENI MAKINI SANA. HUU NI MFANO TU. TUMECCM IMETOA HUU MFANO ILI WATU WAAMBIE WAMPIGIE KURA LISSU NI JINA LA MWISHO, KUMBE KIWANDANI NI TOFAUTI NA ANAWEKWA KATIKATI KATIKA KARATASI HALISI YA KURA NA WATU WANAPOTEA MABOYA KIRAHISI. INABIDI CHADEMA KUWA MAKINI SANA NA KUJIHAKIKISHIA KUWA KARATASI HALISI YA KURA ITAKUWA VILEVILE ULIVYO MFANO HUU KIMPANGILIO.
Tunataka majibuDoes it really matter?
... ratiba ya nani aanze, afuate nani, na wa mwisho kuchukua fomu awe nani ilipangwa na NEC hiyo hiyo. So, there were malicious intentions right from the beginning! Sio bahati mbaya, ni mpango ulosukwa kwa muda mrefu.NEC wamesema kama Wagombea walivyoenda Kuchukua Fomu za Kugombea hapo Kwao NEC basi ndiyo nao Wamepangwa hivyo hivyo Karatasini.
Usifanye huu ujinga. Siku ya mwisho atakuwa sehemu nyingine. Huo ni mfano tu.Lengo lao kumkomoa Lisu. Sasa nitamuelwkeza bibi yangu kuwa apige tiki kisanduku cha mwisho kabisa
Sawa mnama wew na akili zako ulitaka cdm iwe ya ngap kwenye orodha na mwisho awekwe nanUnatetea ujinga kwenye jukwaa lenye watu wenye akili zao. Haya endelea... CCM na NEC wanajua Watanzania ni wajinga (kama wewe) eti wakiweka jina la CCM juu, watavuna kura na la CHADEMA mwisho, hawatapa kitu! Huu ni ujinga wa hali ya juu.