Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

Vitu ulivisoma advance, ukaenda kuvisoma chuo bado huvielewi mpk upige msuli w akujiandaa na hapo umeshafundisha miaka mitatu. Basi wewe ndiye tatizo.
Malalamishi ya wa Tz kama kawaida.
Hili nalo linachangia, walimu wengi wanafundisha vitu wasivyovijua


Mimi binafsi nilikuwa nafundisha toka nipo O level


Kwa Sasa sijafundisha O level na A level miaka mitatu ila nikiingia mzigoni siwezi kupata tabu ya kusoma Soma sana

Maana kitu nikikielewa huwa nikiangalia tu nakumbuka

Shida ya kufaulu kwa kukremisha
 
Kwani umepigiliwa msumari mkuu kwenye hiyo kazi
 
Umeelezea vizuri tatizo alilonalo Mwalimu wetu.
 
Soma theory inaitwa enquiry method.
Hio ndio imetengeneza watu kama Elon musk, Billgate.
Teacher centered method ni very outdated approach.
Dunia inaenda kulia nyie mnawaza kushoto.
Teacher centered approach ni njia rahisi ya ufundishaji ndio maana walimu wengi wa TZ wanaing'angania pamoja na serikali kuleta paradigm shift, competence base lakini bado mambo yanaenda kama nwaka 90 katika zama za teknolojia.
Imagine leo tuna AI bot we bado unasisitiza lecture!
Nchi hii itaendelea kuwa na watu bogus kutokana na kuwa vichwa ngumu huku hawajui chochote.
Leo mnashindwa kuendesha bandari, umeme wa mgao, ukulima duni haya yote yanatokana na njia mbovu za ufundidhaji na ujifunzaji zisizo chochoea ubunifu na utatuzi wa matatizo.
Problem solve approach ndio itatutoa hapa tulipo sio kukariri notes za mwalimu.
mnafurahia ufaulu wa ukariri usio na faida yoyote katika ushindani wa ajira.
Watoto wa wenzetu huko wanatumia mitandao kujielimisha nyie mnakazania kumsikiliza mwalimu, hii ni karne ta kukaa unamsikiliza mwalimu muda mwingi ? Dunia ya sasa ina mambo mengi ya kujifunza hivyo ni sahihi watoto wajitafutie kila kona.
Kuna njia inaitwa project base approach. Huwezi ona walimu wakiitumia halafu tunataka tuwe na wabunifu, Labda wabunifu wa uchambuzi wa mpira wa simba na yanga.
 
Sikupingi

Private schools wanatumia teacher based ndiyo maana wanafaulisha sana.

Kutumia student centered approach kwa watoto wa O level St Kayumba ni kuwabebesha mzigo wasiouweza kwa mazingira yetu.

Student centered approach itumike vyuoni tu
 
Hapa walimu wanatukanwa kila siku mnategemea waipende kazi yao? Kila siku mnawaambia hawana akili hawajiongezi, wakijiongeza ndio kama hivyo wanaonekana darasani kwa nadra mana wanakua kwenye shughuli zingine za kuongeza kipato. Tusiwalaumu walimu tulaumu mfumo wa elimu yetu.
 
Mazinde juu st. Mary's hiyo
 
Umenena vyema umaskini wa ualimu upo kwenye muda,

Ratiba ngumu kufundisha , usome . Nyumbani uandae kazi ya kesho , ujasahisha , ratiba nyingine mpaka jumamosi . Mshahara aungozeki hata mia ,no overtime,kwa nini usife maskini
Hao private mkuu, walimu wa serikali hasa advanced wana muda mwingi.
Nimesoma shule fulani mwalimu wa geo hafundishi, anafundisha shule provate na ana tuition center, mkitaka awafundishe mnachanga pesa mnamlipa.
Shule inajua lakini wala hakuna anayejali.
Jamaa ana pesa ana hadi ghorofa na ni mashuhuri kwa somo hilo huo mkoa.
Private huwezi kufanya hivyo maana wanataka wakukamue hadi tone lako la mwisho.
Mwalimu wa shule private kutoboa ni ngumu kabisa.
 
Elewa kuwa kusoma wakati wote ni sehemu ya maisha, na umesema kuwa ndio msingi wa kuwa mahiri (competent). Hacha uvivu wa kusoma.
Mbaya zaidi vitu tunavofundisha ni ma theory tu kwaiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakn haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miak mingi sana ndo material yanastick kichwani.
Fundisha kwa kufuata mitaala. Haufanyi practical kwa sababu ya uvivu au shule kukosa vifaa au fedha, practical sio tu kwenye masomo ya sayansi, kwani kuna kufanya study tours pia. Kuwa mbunifu.
Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight unakua na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.
Ratiba tight maana yake more pay. Mwambie mwajiri wako, hataki timua!
Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.
Kumbuka kuwa una jukumu la kulea kwa ajili ya Taifa zuri la kesho. Badala ya kukimbizana, tekeleza sheria za shule zinazowabana hao vijana.

JENGA NCHI HACHA KULIALIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…