Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Uko Sahihi kabisa... Hatulingani mi ni maskini wewe ni tajiri au mi mjinga sana ww Msomi ila tambua huwezi jua kila kitu... Vitu ni vingi sana Duniani na Maarifa pia, Endelea kujifunza japo uko level za juu sana.Kila kitu nakijua? Na kipi Tena ndugu? Yes. Huenda najua ndio, kwani dhambi? Kama hujapata lunch acha makasiriko, mimi sio wa level Yako
Mtu akitaka aone vizuri aweke slow motion,Haya. Ila usichoelewa ni kuwa bus baada ya collision na ukuta limebadili uelekeo kwa degrees kadhaa.
Muwe mnaangalia basi na kuelewa sio kibishana tu.
Kwa macho yangu naona jamaa gari imembagazaadah nimemuona huruma huyu mpita njia
Wa rav 4Kuna mambo yanaibua maswali aise kwahiyo dereva kapelekwa hospital.na bado kawakimbia?
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
hatoki hapo, nimeicheki video kwa utaratib mno, jamaa kasagwa mbayaKwa macho yangu naona jamaa gari imembagazaa
Gari imembamiza ukutani kisha ikamdrag mbele na kumbagaza chini huyo labda awe jini wa Terminator ila kama ni mwanadamu kama sisi hawezi kuwa mzima by 100%hatoki hapo, nimeicheki video kwa utaratib mno, jamaa kasagwa mbaya
Wa Rav 4 kama kaenda kugonga Puma itakuwa ni kiwewe kile 🤣 maana hapo walipo hadi kuifikia Puma ni mitaa miwili mbele then akunje kulia 🤣Wa rav 4
hahahaha we jamaa fala sanaawe jini wa Terminator
Kiwewe Cha aina yake, mtu amekumbuka kukata adi Kona basi ni hatariWa Rav 4 kama kaenda kugonga Puma itakuwa ni kiwewe kile 🤣 maana hapo walipo hadi kuifikia Puma ni mitaa miwili mbele then akunje kulia 🤣
Haiingii akilinihahahaha we jamaa fala sana
Hahahahaha nenda kale dogo. Acha njaa! Please relaxUko Sahihi kabisa... Hatulingani mi ni maskini wewe ni tajiri au mi mjinga sana ww Msomi ila tambua huwezi jua kila kitu... Vitu ni vingi sana Duniani na Maarifa pia, Endelea kujifunza japo uko level za juu sana.
Mjinga Mmoja ww.
Shani siyo yule Dada ana vichunusi vingi usoni alikua pale kivukoni ferry!!?Halafu huyo Shani namhahamu [emoji23]
Jini wa Terminator umenikumbusha hiyo movie kitamboGari imembamiza ukutani kisha ikamdrag mbele na kumbagaza chini huyo labda awe jini wa Terminator ila kama ni mwanadamu kama sisi hawezi kuwa mzima by 100%
Ya Mungu mengi,unaweza kuta Mwamba kapona na ana dunda fresh tu!!Huyu mtu lazma atakuwa amepata 80% damage hawezi pona kirahisi maana kabamizwa ukutani
Ha ha ha ha[emoji23]Kuna mambo yanaibua maswali aise kwahiyo dereva kapelekwa hospital.na bado kawakimbia?
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app