spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Eneo la tukio washafanya repair duka linaendelea na shughuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eneo la tukio washafanya repair duka linaendelea na shughuli
Kwahyo huyo mpita njia anaeonekana kwenye video inayosambaa amepona.
Sahihi uyu bwana atakayepata taarifa zake azilete hapa jf.Natamani wangetokea waandishi wa habari aidha wa radio au magazeti.
Wafatilie taarifa za huyu muenda kwa miguu kujua familia yake ikoje wanaomtegemea nyuma yake.....😔😔😔😔
Wakiamini baba/mume/kaka/shemeji/baba mdogo/mjomba.... atarejea leo jioni na chochote kwa ajili ya rizki ya familia.....
Walau kama ana mke au watoto basi tulioguswa tutoe mchango wa kufariji familia...😔😔😔
Na wakiweza onesha mahala familia yake ilipo kila atayeguswa na huyo mtembea kwa miguu basi kila mmoja atapeleka alichonacho kama huruma iliyotujia kwa lililompata binadamu mwenzetu.
Najua matukio ni mengi, hili sio la kwanza na sio la mwisho, huwezi changia yote ila binadamu huwa kila mmoja kwa namna yake huwa anaguswa mahala kutoa.
Kutoa ni moyo.😔😔😔
Inna lillah wainah illahi rajioonmtembea kwa miguu uyo apo kalala zake mbele daaa huzuni kwa kweli View attachment 2526336
TaarifaSahihi uyu bwana atakayepata taarifa zake azilete hapa jf.
Mkuu kuripoti matukio Kuna mfumo wake. Labda mhusika haufahamu.Naiweka hapa muone wenyewe...
MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45
Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa
Plate No: T 122 DGW
JINA: SHABANI NGAUGIA
Ilipata ajali Eneo la Kisutu mbele kidogo ya mataa ilikuwa inatoka Kivukoni kwenda Kimara.
Chanzo cha ajali dereva wa mwendokasi alikuwa anatoka Kivukoni kwenda Kimara alifika mataa wakati anavuka kuna gari ndogo aina ya RVA4 yenye namba ya usajili T 978 DHZ ilikuwa ikitokea posta mpya ikielekea Kivukoni ilikuwa inapita pasipo kuangalia dereva wa mwendokasi alimuona akawa anamkwepa ndipo alipoenda kugonga flame za maduka na kuleta itirafu nje ya maduka.
Ndani ya gari ya mwendokasi kulikuwa na abiria wanafunzi na wananchi wamepata majaraha madogo madogo walipelekwa Muhimbili kwa check up ila dereva wa mwendokasi ameumia sana sehem ya mguuni yupo Muhimbili akiendelea na matibabu.
Wakati ajali imetokea gari aina ya RVA4 iliyosababisha ajali ilikuwa inakimbia kuelekea Kisutu kufika mbele ikapata ajali ikagonga ukuta wa shelli ya puma Kisutu na kuaribika. Waliokuwa ndani ya gari hiyo ndogo waliumia na kupelekwa hospital dereva wa gari ndogo alivyofika hospital alikimbia akabaki Majeruhi mmoja ambae ni mwanamke.
Katika ajali hii iliyotokea akuna vifo vilivyotokea isipokuwa kuna Majeruhi na wote wako Muhimbili kwa matibabu ila dereva wa mwendokasi na watu wanne wanahali sio nzuri sana.
Reported by
Overall Incharge
Shani Mussa.
&
Zonal Incharge
Amina Juma.
Huyu hapa mkuuWanasema hakufa
Ashukuru Gari ni Carbon Fibers
Ila kweli eeh.Mwamba itakuwa aliingia kwenye duka hapo!
Hapa hata Mimi ndio nashangaa....kama jamaa alipona basi ni jambo la kumshukuru Mungu.Kwahyo huyo mpita njia anaeonekana kwenye video inayosambaa amepona.
Aisee Mungu anamipango na makadirio take, alimpa mmoja ujasiri wa kutosha kakimbia ameokoka kifo wakati mwingine kama vile amekifuata kifoNa huyu wa rav 4 alikimbiajeView attachment 2526255
Unamhahamu?Halafu huyo Shani namhahamu [emoji23]
Nazungumzia grammatical errorsMkuu kuripoti matukio Kuna mfumo wake. Labda mhusika haufahamu.
Unakitu unamtafuta mkuu wakilinge na utakipataUnamhahamu?
Sasa ukiambiwa huyo ndio bora zaidi na zaidi ndio maana amepewa kitengo utasemaje?Nazungumzia grammatical errors
Hahahahahaha Mpwa sitaki "zambi"Sasa ukiambiwa huyo ndio bora zaidi na zaidi ndio maana amepewa kitengo utasemaje?
Ndio Afande anasema hajafa??