Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

Hujalazimishwa kuiamini Quran ila mwisho jua kuna Pepo na Moto. Uchaguzi ni wako sisi kazi yetu ni kufikisha ili siku ya hukumu usije ukaleta hoja kuwa ujumbe haukukufikia
Umetishwa sana, hutoweza kamwe kuhoji uwongo mliopigwa, umetishwa utaenda motoni , God is not a dictator, God has given us freedom, hadi leo bado mnaendelea kuabudu mungu wa kabila la muhammad.....bila kujijua....
 
wakristo mume wenu ni yesu yule wa mchongo na ndo maana mnamuita bwana.

👇👇Please masai njoo ujieleze hapa

"Kwa maana Mumeo ndiye Muumba wako; Bwana wa majeshi ndilo jina lake; na Mkombozi wako ni Mtakatifu wa Israeli; ataitwa Mungu wa dunia yote." (Isaya 54:5)
 
Soma Qur'an 3:144,
"Muhammad si chochote zaidi ya Mtume; Mitume wengine wamekwisha kwenda kabla yake. Je, akipatwa na mauti au akauawa, mtaacha kurudi nyuma katika Imani yenu? Atakayerejea nyuma hatakudhuru chochote Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu atawalipa wanaoshukuru."


wapi pameandikwa wamekufa wote ? Pameandikwa wameenda kwa kifo au njia nyingine ..
 


Huoni hilo swali hapo chini; "je (Muhammad) akipatwa na mauti au kuuawa---??".

Kupata mauti au kuuawa ndio njia ya za kifo kwa Watu wote na "manabii waliokwisha kwenda" kabla ya Mtume Muhammad (saw), kwisha kwenda/pita خلت hapo maana yake ni kufa angalia (pass away/خلت katika kiingereza).
 
issah alikufa? leta maandiko kwamba alikufa ...

Ninavyojua issah atakuja kuonya umaiti kwa sababu alishaahidiwa ila kabla kwa vile kuondoka kwake hakupata umauti.


pleas thibitisha kwa issah alikufa?
 


Mkuu aya inasema mitume kabla ya Muhammad wamepita ( خلت) kwa kufa, sasa kama kulikuwepo na exception ya nabii Isa (as) basi Allah angeitaja hapo, au Allah hakujua kwamba Nabii Isa (as) Yeye mwenyewe ndiye aliyempaisha "HAI"
mbinguni??.

Haya tuache kwanza hiyo aya 3:144 na tuje kwenye aya nyingine hii 5:117, ambayo specifically inazungumzia juu ya majibu atakayotoa Isa (as) siku ya kiyama pale Allah atakapomuuliza; Je Wewe (Isa) uliwaambia (Wakristo) wakushike wewe na mama yako (Bi Mariam) kuwa Miungu??--- angalia jibu lake mbele ya Allah siku ya kiyama litakuaje!!

Jua kwamba leo hii Yesu (Isa as) na Mama yake wanaabudiwa na Wakristo kama Miungu.
 
Sijawahi kuwaambia kitu chochote isipokuwa uliyoniamrisha niseme: "Muabudu Allah - Mola wangu na Mola wenu!" Na nilikuwa shahidi juu yao wakati nilipokuwa nao. Lakini uliponichukua mimi, Wewe ndiwe Mshahidi juu yao - na Wewe ni Mshahidi juu ya kila kitu"

Aya hiyo wapo juu wapi isa alikufa?


Aya ilikuwa inaeleza juu ya mtume Muhammad kwamba kama wenzio waliotangulia ila hakuna sehemu kwamba wore walikufa.. Imesema kama wenzio waliotangulia ikijumuisha kwamba nae yupo ataonja umauti hakuna maana ya moja kwa moja .
 
kingine usi-normalize tuanze kwanza kuzaliwa kwake ni tofauti na wengine manabii waliopita huyu ana Mama tu hapa dunia ...

Surah An-Nisa( 157-158) ndo inaeleza isa alichukuliwaje ..Usinormalize kufika mbinguni lazima ufe ila isa alikuwa exceptionally kwa binadamu .

Tuje kwa nn Isa atarudi na sio wengine .
 
We mbumbu tu miongini mwa mambumbu wa kikristo

Huyo Paulo mwenyewe aliyekuleta dini ya uongo ya kikristo alikuwa anajua kuwa Saudi Arabia Kuna ufunuo utakuja na aliyajua haya Kwa sababu alikuwa msomi mzuri wa Taurati

Wagalatia 4:21
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
Wagalatia 4:22
Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana.
Wagalatia 4:23
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
Wagalatia 4:24
Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri.
Wagalatia 4:25
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.
Wagalatia 4:26
Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana, naye ndiye mama yetu sisi.
 


Swali moja kwako; je unajua kusoma kiarabu cha Qur'an na maana na tafsiri zake??

Kwanza tuanzie hapo.
 
Vyema, je Unaamini kwamba leo Wakristo wanamuabudu Yesu na Mama yake kama Miungu??
wanaamini maana ni miongoni mwao kwa sababu wana madhehebu mengi ila ni miongoni mwao..Atakuja kuwakana
 
wanaamini maana ni miongoni mwao kwa sababu wana madhehebu mengi ila ni miongoni mwao..Atakuja kuwakana


Wapo wakristo wanaosema kwamba Yesu ni Mungu na wanamuabudu si ndio??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…