Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
Wapo wakristo wanaosema kwamba Yesu ni Mungu na wanamuabudu si ndio??!!
kwani wapi bible imetoka kwa Mungu au yesu alipewa bible ? ukionyesha naslimuWaislamu wajanja, walipoona mapungufu kwenye Biblia wao wakaona waje na gear kuwa kitabu chao kilishushwa ili kupunguza maswali na migawanyiko kwenye dini yao. Mungu hajawahi kuandika kitabu chochote kile😅😅
Umeona mahala popote nimesema Bible ilishushwa na Mungu? Yesu mwenyewe mpaka anakufa hajui kitabu kinaitwa Biblia wala dini inayoitwa uKristo. Hata hao mitume tunaambiwa waliandika Biblia hakuna hata mmoja aliyeondoka akaacha kitabu kinaitwa Biblia.kwani wapi bible imetoka kwa Mungu au yesu alipewa bible ? ukionyesha naslimu
Sasa watwambie wanajua maana ya mtu kulala usingiz Fofo?Huyo sterling mwenyewe Picha tu linaanza unaambiwa alizaliwa akiwa na jando tayari, hakuwa na kimvuli cha juwa wala mbalamwezi na alikuwa anaona upande zote bila kugeuka, na akilala fofo usingizini anawasikia story zenu zote mnazopiga.
Sasa hilo la kushushiwa Quran mbona Dogo, kwakweli hawa jamaa wa middle east wametuweza.
Sio kweli mtu msoni anakuuliza maswali kisomi,kwa vile wewe unakuwa haujasoma unaona kama lugha anayotumia ni ya wehu kwa sababu hauelewi.Mkristo anawezakuwa Phd holder lakini linapokuja suala la dini anakuwa mpuuzi wa kureasoning zaidi ya mwehu.
SawaUmeona mahala popote nimesema Bible ilishushwa na Mungu? Yesu mwenyewe mpaka anakufa hajui kitabu kinaitwa Biblia wala dini inayoitwa uKristo. Hata hao mitume tunaambiwa waliandika Biblia hakuna hata mmoja aliyeondoka akaacha kitabu kinaitwa Biblia.
Ndio wapo!
Ebu nioneshe kwenye bible malaika wahasi wa kaitwa majini au mapepo?Sijafananisha.
Hiyo ni bible.
Unatakiwa uishambulie hoja sio mtoa hoja......
wale wanawaita Mungu hawajaumba chochote bali wao ndo wamumbwa na Mungu.Okay, kwakuwa unadai unajua kiarabu basi naomba unipe tafsiri ya maneno haya:-
و الذين يدعون من دون الله لا يخلقون شيءا و هم يخلقون
اموات غير أحياء و مما يشعرون ايان يبعثون
wale wanawaita Mungu hawajaumba chochote bali wao ndo wamumbwa na Mungu.
wafu hwana chochote wanachojua wanapofufuliwa.
Point yako sioni naona unaruka nionyeshe wapi isa alikufa mara ulize hili mara hili😂😂😂...Ishu ni kuelimisha ila sioni point yao hapo wanaitwa ni wengi ni Miungu wapo msanamu ,miti mpaka wanyama wanaabudiwa na hawa wanawalichoumba kabisa ..Tafsiri yake iliyonyooka ni hii:-
Na wale ambao wanaitwa badala ya Allah (hao) hawaumbi chochote bali wao wameumbwa.
Ni wafu, si wazima, na hawajui watafufuliwa lini. (Quran 16:20-21).
Aya hiyo ni ya Qur'an na kashushiwa mtume (saw), hapo anaambiwa kwamba Wale wote wanaoitwa Mungu badala ya Allah watu hao wameumbwa, hawaumbi na ni Wafu na hawajui watafufuliwa lini nabii Isa (as) naye yumo.kwenye kundi hilo la kuitwa Mungu kimakosa badala ya Allah soma Qur'an (5:116-117), hivyo kipindi aya hii inashuka ni lazima alikuwa kafariki zamani.
Tafakari kwanza hiyo aya kisha nitakuletea aya zingine.
Tuseme sijui kitu ebu nionyeshe wapi isa alifariku mbona unanizungusha nipo humu online ila wapi unanizungusha😂😂😂..Tafsiri yake iliyonyooka ni hii:-
Na wale ambao wanaitwa badala ya Allah (hao) hawaumbi chochote bali wao wameumbwa.
Ni wafu, si wazima, na hawajui watafufuliwa lini. (Quran 16:20-21).
Aya hiyo ni ya Qur'an na kashushiwa mtume (saw), hapo anaambiwa kwamba Wale wote wanaoitwa Mungu badala ya Allah watu hao wameumbwa, hawaumbi na ni Wafu na hawajui watafufuliwa lini nabii Isa (as) naye yumo.kwenye kundi hilo la kuitwa Mungu kimakosa badala ya Allah soma Qur'an (5:116-117), hivyo kipindi aya hii inashuka ni lazima alikuwa kafariki zamani.
Tafakari kwanza hiyo aya kisha nitakuletea aya zingine.
Sikiliza video hii imeelekeza natumai utafahamu kitu ndugu yanguHeri ya Pasaka?
Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.
Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?
JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?
1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.
2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?
3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.
4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?
Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .
Natanguliza shukrani nyingi.
Samahani Mkuu. Kafiri sio tusi ila ni mtu anaeficha ukweli. Please forgive meMkuu pole na swaaum hivi kafiri uwa ni tusi au linamaana gani,na kama ni tusi kwann unafanya hivyo ilihali umefunga?
Point yako sioni naona unaruka nionyeshe wapi isa alikufa mara ulize hili mara hili😂😂😂...Ishu ni kuelimisha ila sioni point yao hapo wanaitwa ni wengi ni Miungu wapo msanamu ,miti mpaka wanyama wanaabudiwa na hawa wanawalichoumba kabisa ..
Ebu jaribu kuniambia wapi isa alikufa ? Unanitokea kweny madq unafanya collocation katika aya ambao haziendani....
Tuseme sijui kitu ebu nionyeshe wapi isa alifariku mbona unanizungusha nipo humu online ila wapi unanizungusha😂😂😂..