wamehaidi kutohondoka.
Rudi shule au la bado unaongea kishamba kishamba
 
Emirates za Arabu !!! Bado elimu inahitaji miaka kukamilika
 
Hakika asomewe katiba, aheshimu mipaka ya nchi
 
Inasikitisha sana
 
Huu sasa ndiyo muda wa kujulikana rasmi kuwa Ngorongoro na Loliondo sio Tanganyika bali ni United Arabs Emirates..

Mungu leo na ijulikane rasmi Ngorongoro na Loliondo ni nchi gani..!!
 
Serikali iwapige mabomu ya machozi watafutane wanataka kutuharibia nchi yetu wengine hawakawii kukimbilia ubalozini na kusindikizwa kwenda kuungana na familia zao na kutuacha sisi hapa
 
Unaandaa Royal Tour at the same time una haribu image ya utalii kwa sababu na mbinu za kifala pale Ngorongoro ni wapumbavu pekee hufanya maamuzi ya namna hii.

Ifike hatua tuwe tunapima IQ ya mtu kabla hajawa kiongozi.
Mitafaruku ya Kisiasa ipo Kila Nchi Wala hakuna Cha image kuhatibika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…