TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

Mungu aipumzishe roho yake kwa namna alivyojiandalia mwenyewe.
 
Alijitahidi sana kuwa fair wakati akiwa msajili wa vyama. Pia wakati ule viongozi walau walikuwa na hofu ya Mungu.

Mungu amjalie amani na pumziko miongoni mwa wateule wake

Jaji Mutungi jifunze kutenda haki ktk nafasi yako. Kifo kipo na hukumu kwa matendo yako ipo.
 
Huyu shetani hata siasa hajui
 
Akakutane na File lake sasa huko ambako hakuna cha kusema mimi nilikua ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…