TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

Apate pumziko kadiri ya matendo yake.
Kati vile vyama 14 alisajili/kulea vingapi?
 
Hili mbwiga bado tongotongo za mbwinde hazijamtoka halafu anataka ajifanye kila kitu anajua yeye.
 
Aliminya sana demokrasia wakati ule na sasa tunamsubiri msajili wa sasa.
 
AA
Siku tukijua duniani tuna pita bila na vyote tuta viacha Shaka tuta peana afadhali za maisha
 
Dhambi za kunyanyasa vyama vya upinzani hazita waacha watakufa kipumbavu kabla ya wakati wao, bado mwenzie mutungi
 
Huyu ni mmoja kati ya walioshiriki kwa kiwango kikubwa kuharibu demokrasia ya vyama vingi hapa nchini. Akapate stahiki yake huko mbele.
 
Apumzike panapostahili. Huyu ndiye aliyeua uoinzani hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…