Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Kuwa na elimu ndogo kuhusu usiyoyajua ndio ujinga wenyewe.
Elimu ni pana
Na wewe unaangukia kwenye kundi Hilo la Wajinga. Ungepata muda ukajielimisha usingelikuwa na mawazi ya kipumbavu kama hayo ya kuamini Freemason ni utajiri, siri, kuuwana na kadhalika.
 
Endelea kujifungia kwenye box hata freemason yenyewe uijui
 
Nadhani sheria itungwe kali kuhusu kumchulia au kumtabiria mtu kifo, kuwe na adhabu au faini.

Hawa wachungaji uchwara na walozi janja janja wanatakiwa kudhibitiwa na kutungiwa sheria kali waache kutumia majina ya watu wakubwa kutafuta "Attention" kwenye jamii..
 
Kwa nn utabiri huwa unalenga kwenye mabaya? Kwa nn wasitabiri msanii flani atakua bilionea?
 
Sijawahi ona kwenye Biblia toka nilipoanza kuisoma nikiwa mdogo hadi uzee huu Nabii anamtabiria mtu kifo.

Kufa kupo kwa kila mtu na hatujui saa wala siku ambayo tutakufa. Huyo nabii ni janja janja ili kama ikitokea msanii yoyote kafa ionekane alishatabiri japo pia anaweza kufa kwanza yeye kabla ya huyo msanii. Inasikitisha kwa kweli.
Umewahi kumsoma nabii Mikaya jinsi alivyomtabiria mfalme Ahabu kifo? nenda kasome 1 Wafalme 22:2-40
 
Acha mambo Yako Diamond ameokoka na Juzi tu aliandaa Tamasha la Pasaka na akahubiri Injili ya Yesu Kristo mbele ya Waziri mkuu
Mkuu ni kweli? Kwa mujibu wa clip ya huyo nabii wa Kenya, huyo msanii ana rank kubwa masonry, na anawaunganisha wanamziki wengi na kuzimu wakiwepo wa mziki wa injili, huoni huko kuokoka ni mbinu ya kuwaunganisha hao wanamziki wa injili na masonic kwa urahisi?

Naanza kupata hofu na hayo mahusiano yake na tina
 
Umewahi kumsoma nabii Mikaya jinsi alivyomtabiria mfalme Ahabu kifo? nenda kasome 1 Wafalme 22:2-40
Wako wengi tu Mkuu huyo sio Msomaji wa Biblia..
Hawa nakuongeza wengine..
  • Eliya: Alitabiri kifo cha Malkia Yezebeli kwa sababu ya maovu aliyoyatenda (1 Wafalme 21:23)
  • Elisha: Alitabiri kifo cha Mfalme Yehoashi wa Israeli (2 Wafalme 13:14-19).
  • Yeremia: Alitabiri kifo cha Mfalme Yehoakimu wa Yuda (Yeremia 22:18-19).
  • Isaya anamtabiria HEZEKIA (2 wafalme 20:1-6)
 
Mkuu ni kweli? Kwa mujibu wa clip ya huyo nabii wa Kenya, huyo msanii ana rank kubwa masonry, na anawaunganisha wanamziki wengi na kuzimu wakiwepo wa mziki wa injili, huoni huko kuokoka ni mbinu ya kuwaunganisha hao wanamziki wa injili na masonic kwa urahisi?

Naanza kupata hofu na hayo mahusiano yake na tina
Mbona ni wapenz na Tina Kitambo ndo maana Tina akaachana na Mumewe kwa sababu walikuwa rwanda kama dio Burundi na Diamond jamaa akatumiwa Picha ikawa mzozo
 
Tujifunze kutofautisha unabii na utabiri.

Ni kwamba Kwenye Unabii wako wengi Sana walitabiri Vifo na waliwaambia Live watu waliowatolea Unabii huo na baada ya hapo walipotubu mungu akawaacha..
SOma biblia..
 
Utabiri na unabii ni vitu tofauti. Prophecy na prognosis au forecast.
Prognosis Sio Utabiri Ni matazamio..
Na forecast Sio utabiri Ni matazamio Pia but forecasting Mara nyingi huwa ni Posibility kutokana na Matokeo fulani..

Yaani Kwa mfano Kama simba atashinda Nusu Fainali basi atacheza na Yanga Kwenye Fainali..

Sasa UtaBiri mara Nyingi sio Unabii maana hauna uhakika na Yatakayotokea..

Ila unabii Ni uhakila wa Kutokea kwa mambo..

  • nabii Mikaya jinsi alivyomtabiria mfalme Ahabu kifo? nenda kasome 1 Wafalme 22:2-40
  • Wako wengi tu Mkuu huyo sio Msomaji wa Biblia..
  • Hawa nakuongeza wengine..
  • Eliya: Alitabiri kifo cha Malkia Yezebeli kwa sababu ya maovu aliyoyatenda (1 Wafalme 21:23)
  • Elisha: Alitabiri kifo cha Mfalme Yehoashi wa Israeli (2 Wafalme 13:14-19).
  • Yeremia: Alitabiri kifo cha Mfalme Yehoakimu wa Yuda (Yeremia 22:18-19).
  • Isaya anamtabiria HEZEKIA (2 wafalme 20:1-6)
KWanini Nimeziita Unabii na sio.Utabiri..
kwa sababuZilikuwa na uhakika (Kibliblia Kuwa Mungu alitwatuma wakasema)..

Nabii ni yule anayerely Imformation kutoka kwa mungu kwa Wanadamu (Kiswahili Mjumbe)..

Tabiri ni sawa na kusema Bashiri maana Huna uhakika na usemacho..
Sijui umenielewa
 
Porojo nyingi, sijui hata unakubali nini na unakataa nini. Nimeandika zaidi ya mara mbili humu kuwa unabii na utabiri ni vitu tofauti.

Ndlovu kaeleza kuwa hayo anayotueleza alionyeshwa na roho wa Mungu. Huo huwezi kuita utabiri, ni unabii.
 
Anhaa hapo sasa nimekuelewa..
Tulikuwa hatujaelewana sehemu ndogo sana..

Ila sasa Kipimo cha Kuhakiki kama kaomgea na Roho wa Mungu ni kipi??
 
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.

Nawatakiwa Asubuhi Njema

View attachment 2952828
kwahiyo akifa kweli ndio hawa watu wachukue utukufu kwamba wao ni watumishi wakuuuuuubwa au nini sijaelewa hapo. hivi diamond, hamonize au shusho akifa ni kifo muhimu sanaaaa kuliko vya ndugu zetu tuliowazika? wana nini cha faida kuzidi waliowatangulia? siombei wafe, ila hawa manabiii, kwanini pia huwa wanatoa unabii wanasema tuombee wanaomba na watu hao wanakufa kweli, kwanini wasiombe na wasife? kwanini unabii wao ni wa kifokifo tuuuu sio unabii wa mema. Tb joshua aliharibu sana kanisa la Bwana, nitapigwa mawe mengi hapa ila ukweli ndio huo. hata hawa kina mwamposa, jodevie na wengine wooote Africa nzima wasingekuwepo kama Tb joshua asingeanzisha biashara zake za maji. wenzake wamejiongeza wamekuja na mafuta pia.

sisemi kuwa hakuna manabii wa kweli, wapo, ila siku za mwisho hizi, tuwe makini, sio kila anayejifanya kutabiri jambo linalostua na likatimia basi huyo ni mtumishi wa Mungu. bali yule anayeenenda sawasawa na Neno la Mungu, anayefundisha sio miujiza tu bali Neno la Mungu, utakatifu na kuacha dhambi na ujazo wa Roho Mtakatifu. muwe makini.
 
Back
Top Bottom