Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

CCM wamejipanga kuwapima mkojo,kesho utasikia Lissu mbeligiji na Heche ni mkenya.
 
Mnasahau mlituaminisha kuwa ushindi wa Lisu utakuwa almost 90% lakini matokeo ndio kama mlivyoyaona badala ya kufikiria watu wa mwamba watafanya nini isitokee mpasuko kwenye chama chenu unazungumzia CCM ambayo vijana wake na wanachama kwa jumla wame unga mkono hoja ya kumteua mama kuwa mgombea. Endeleeni kujidanganya kisha mseme mmeibiwa kura. Mjue sasa hivi baada ya kile kikao wadau wa CCM wapo ktk mchakato wa jinsi gani watapataushindi ktk uchaguzi mkuu kuanzia ngazi ya udiwani , Ubunge na Urais
 
Kama kuna mtu amejifungia mahali anadhani kwamba kuna kitakachodumu hapa duniani nampa POLE
Kwanini umekata tamaa mapema mkuu na unaacha laana zisizo na mpangilio. Kwani huko peponi ulikua hujui hatuishi milele au ulijizima data kwa tamaa za tumbo lako?
 
Tunajua Siri ya ushindi ule. Hatuhangaiki, Lissu mbele kwa mbele
 

Narudia kusema tena siku JK akianguka Ndio CCM inaanguka
 
Tangu lini umekuwa mtabiri?
 
Kusema ukweli tayari watu wameamka na kujitambua. CCM ijipange sana.
 
Acheni kubishana sana. Wekeni tume huru uone huyo mama kama atatoboa kwa Lisu.
 
Huo sio utabiri fanya utafiti angalau mdogo tu.
Lakini mfuate Mao aliyesema no research no right to speak.
Na wewe ulete uthibitisho au takwimu zako. Aliyeanza kutapika na kuleta uharo ni nani? Kama sio wewe? Unaandika kama umekatwa kichwa. Haya leta research yako haraka.,kuhusiana na uliyoyaandika.
 
Maandishi wa fani gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…