Ni kweli kabisa. MAFEKESHE.Sio kwamba hii 49% ina MAFEKECHEE ndani yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa. MAFEKESHE.Sio kwamba hii 49% ina MAFEKECHEE ndani yake?
Kujenga chama sio ndelemo,inataka nidhamu ya hali ya juu kama ya Samurai wa Japan.Sawa Bro
Mnasahau mlituaminisha kuwa ushindi wa Lisu utakuwa almost 90% lakini matokeo ndio kama mlivyoyaona badala ya kufikiria watu wa mwamba watafanya nini isitokee mpasuko kwenye chama chenu unazungumzia CCM ambayo vijana wake na wanachama kwa jumla wame unga mkono hoja ya kumteua mama kuwa mgombea. Endeleeni kujidanganya kisha mseme mmeibiwa kura. Mjue sasa hivi baada ya kile kikao wadau wa CCM wapo ktk mchakato wa jinsi gani watapataushindi ktk uchaguzi mkuu kuanzia ngazi ya udiwani , Ubunge na UraisDuru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.
Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya chama.
Azimio la Mkutano Mkuu uliofanyika tarehe 19 Januari 2025 ukumbi wa White House Dodoma, ulipitisha jina la Samia kama sole contenstant na jina la John Nchimbi as running mate wake kwa nafasi ya umakamu. Azimio hili tayari limeshaonesha kuleta mpasuko wa ndani. Juhudi za vikao, kubembelezana na hata kutishiana zimekuwa zikiendelea ndani ya Chama ili kupunguza madhara ya msuguano uliosababishwa na uvunjivu wa Katiba na kanuni za chama.
Inasemekana, upo uwezekano wazee wa kazi chafu wakapewa orodha ya watakaoshughulikiwa ili mifumo iwabane kiuchumi au kuwawekea mazuio muhimu au hata kukabiliwa na changamoto ya maisha yao (kinga ya wale jamaa itahusika kutekeleza hili).
Hotuba ya Tundu Lisu hususan alipokuwa anateua Sekretarieti mpya CHADEMA, ailitamka kuacha nafasi moja ya uteuzi wa mjumbe, akielezea uwezekano wa kupokea wageni kutoka chama dola ambapo hilo lipo wazi hadi sasa.
Jambo linalochagiza wanyetishaji kupata nguvu ya hoja ya mpasuko wa ndani, ni kitendo cha CCM na viongozi wake wote kutosema lolote kuhusu Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CHADEMA. Hata Mwenyekiti wa CCM hajasema lolote hadi sasa hivyo hofu na uoga vinazidi kuongezeka ndani ya korido za Lumumba.
Ushindi wa Lisu na Heche umeleta hasara kubwa na unaweza kupelekea mabadiliko makubwa serikalini na kitengoni kutokana na uwekezaji mkubwa kufanyika na kuambulia kuvuna mabua. Inasemwa na wapenda haki ndani ya CCM kuwa, pesa iliyotumika kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni hasara na pigo kubwa sana dhidi ya CCM na Serikali. Kitendo cha polisi kushindwa kulazimisha (mbinu za vurugu) ushindi kwa mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA ni dhahiri kuwa mfumo umecheza ngoma kubwa kuliko uwezo wake. Msemakweli ndani ya chama dola anasema, kitendo cha wawakilishi wa Kibalozi ndani ya Mkutano Mkuu hadi mwisho wa zoezi la uhesabuji wa kura na uwepo wa kundi kubwa la wananchi kuzingira ukumbi wa Mlimani City ambao walikesha siku zote za Mkutano hadi ulipofungwa tarehe 22 January 2025 usiku, ulisababisha nyenzo za kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ziendelee kubaki salama ndani ya magari ya polisi 19 yaliyozingira eneo hilo wakiwa na silaha kali.
MY TAKE
- Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa na hakuna wa kuzuia
- Ushindi wa Lisu na Heche ni mpango wa Mungu
- CCM ipo hatua moja kukaribia kishindo cha MPASUKO wake
- Rushwa na mbinu zote chafu za ndani ya chaguzi za Chama vimekuwa kansa isiyopona na kuzalisha makundi na manung'uniko ndani ya chama.
- CCM ijiandae kisaikolojia kwa uchaguzi mkuu ujao kwani umma umeshaamka kupitia matukio yaliyojiri kuelekea uchaguzi wa CHADEMA ambao ulifunika kwa mbali sana mkutano mkuu wa CCM ambao umemalizika kwa kuongeza ufa wa mpasuko unaoendelea chamani
Kwanini umekata tamaa mapema mkuu na unaacha laana zisizo na mpangilio. Kwani huko peponi ulikua hujui hatuishi milele au ulijizima data kwa tamaa za tumbo lako?Kama kuna mtu amejifungia mahali anadhani kwamba kuna kitakachodumu hapa duniani nampa POLE
Tunajua Siri ya ushindi ule. Hatuhangaiki, Lissu mbele kwa mbeleMnasahau mlituaminisha kuwa ushindi wa Lisu utakuwa almost 90% lakini matokeo ndio kama mlivyoyaona badala ya kufikiria watu wa mwamba watafanya nini isitokee mpasuko kwenye chama chenu unazungumzia CCM ambayo vijana wake na wanachama kwa jumla wame unga mkono hoja ya kumteua mama kuwa mgombea. Endeleeni kujidanganya kisha mseme mmeibiwa kura. Mjue sasa hivi baada ya kile kikao wadau wa CCM wapo ktk mchakato wa jinsi gani watapataushindi ktk uchaguzi mkuu kuanzia ngazi ya udiwani , Ubunge na Urais
Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.
Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya chama.
Azimio la Mkutano Mkuu uliofanyika tarehe 19 Januari 2025 ukumbi wa White House Dodoma, ulipitisha jina la Samia kama sole contenstant na jina la John Nchimbi as running mate wake kwa nafasi ya umakamu. Azimio hili tayari limeshaonesha kuleta mpasuko wa ndani. Juhudi za vikao, kubembelezana na hata kutishiana zimekuwa zikiendelea ndani ya Chama ili kupunguza madhara ya msuguano uliosababishwa na uvunjivu wa Katiba na kanuni za chama.
Inasemekana, upo uwezekano wazee wa kazi chafu wakapewa orodha ya watakaoshughulikiwa ili mifumo iwabane kiuchumi au kuwawekea mazuio muhimu au hata kukabiliwa na changamoto ya maisha yao (kinga ya wale jamaa itahusika kutekeleza hili).
Hotuba ya Tundu Lisu hususan alipokuwa anateua Sekretarieti mpya CHADEMA, ailitamka kuacha nafasi moja ya uteuzi wa mjumbe, akielezea uwezekano wa kupokea wageni kutoka chama dola ambapo hilo lipo wazi hadi sasa.
Jambo linalochagiza wanyetishaji kupata nguvu ya hoja ya mpasuko wa ndani, ni kitendo cha CCM na viongozi wake wote kutosema lolote kuhusu Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CHADEMA. Hata Mwenyekiti wa CCM hajasema lolote hadi sasa hivyo hofu na uoga vinazidi kuongezeka ndani ya korido za Lumumba.
Ushindi wa Lisu na Heche umeleta hasara kubwa na unaweza kupelekea mabadiliko makubwa serikalini na kitengoni kutokana na uwekezaji mkubwa kufanyika na kuambulia kuvuna mabua. Inasemwa na wapenda haki ndani ya CCM kuwa, pesa iliyotumika kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni hasara na pigo kubwa sana dhidi ya CCM na Serikali. Kitendo cha polisi kushindwa kulazimisha (mbinu za vurugu) ushindi kwa mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA ni dhahiri kuwa mfumo umecheza ngoma kubwa kuliko uwezo wake. Msemakweli ndani ya chama dola anasema, kitendo cha wawakilishi wa Kibalozi ndani ya Mkutano Mkuu hadi mwisho wa zoezi la uhesabuji wa kura na uwepo wa kundi kubwa la wananchi kuzingira ukumbi wa Mlimani City ambao walikesha siku zote za Mkutano hadi ulipofungwa tarehe 22 January 2025 usiku, ulisababisha nyenzo za kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ziendelee kubaki salama ndani ya magari ya polisi 19 yaliyozingira eneo hilo wakiwa na silaha kali.
MY TAKE
- Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa na hakuna wa kuzuia
- Ushindi wa Lisu na Heche ni mpango wa Mungu
- CCM ipo hatua moja kukaribia kishindo cha MPASUKO wake
- Rushwa na mbinu zote chafu za ndani ya chaguzi za Chama vimekuwa kansa isiyopona na kuzalisha makundi na manung'uniko ndani ya chama.
- CCM ijiandae kisaikolojia kwa uchaguzi mkuu ujao kwani umma umeshaamka kupitia matukio yaliyojiri kuelekea uchaguzi wa CHADEMA ambao ulifunika kwa mbali sana mkutano mkuu wa CCM ambao umemalizika kwa kuongeza ufa wa mpasuko unaoendelea chamani
Why and How?Narudia kusema tena siku JK akianguka Ndio CCM inaanguka
Tangu lini umekuwa mtabiri?Jifunze utu kwanza.
Watu walio wengi hawataki kuchangia maendeleo yao achia mbali kuchangia chama cha siasa.
Kitu gani kitawafanya vibonde wako wazaliwe upya kuchangia kule wasipovuna mfululizo bila kuchoka?
Chama kujitegemea sio kuvaa magwanda ya Savimbi.
Chadema inaenda kuwa Titanic in no time,unless mnajifunza abc ya kuitwa chama cha siasa kipinzani.
Utakuwa huna marinda weweUtajuaje hali halisi nawe akili zimechanganyika na haja kubwa? Watu wanaumiza vichwa huko kufanya damage control wewe unakenua huku.
Huo sio utabiri fanya utafiti angalau mdogo tu.Tangu lini umekuwa mtabiri?
Acheni kubishana sana. Wekeni tume huru uone huyo mama kama atatoboa kwa Lisu.Hivi wewe unatumia kichwa au maliwato kufikiri?
Samia anayo mengi aliofanya kuliko wanaume suruali kama wewe.
Nadhani imefika wakati wa akili punguani zikachakatwa kwanza na akili badia yaani Artificial Intelligence.
Au ndio ninyi msiojitambua mliolishwa sumu ya mamba kuharibu kile Muumba alichokiumba.
Na wewe ulete uthibitisho au takwimu zako. Aliyeanza kutapika na kuleta uharo ni nani? Kama sio wewe? Unaandika kama umekatwa kichwa. Haya leta research yako haraka.,kuhusiana na uliyoyaandika.Huo sio utabiri fanya utafiti angalau mdogo tu.
Lakini mfuate Mao aliyesema no research no right to speak.
Amina🙏Mungu itendee Tanzania kama upendavyo!
Maandishi wa fani ganiDuru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.
Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya chama.
Azimio la Mkutano Mkuu uliofanyika tarehe 19 Januari 2025 ukumbi wa White House Dodoma, ulipitisha jina la Samia kama sole contenstant na jina la John Nchimbi as running mate wake kwa nafasi ya umakamu. Azimio hili tayari limeshaonesha kuleta mpasuko wa ndani. Juhudi za vikao, kubembelezana na hata kutishiana zimekuwa zikiendelea ndani ya Chama ili kupunguza madhara ya msuguano uliosababishwa na uvunjivu wa Katiba na kanuni za chama.
Inasemekana, upo uwezekano wazee wa kazi chafu wakapewa orodha ya watakaoshughulikiwa ili mifumo iwabane kiuchumi au kuwawekea mazuio muhimu au hata kukabiliwa na changamoto ya maisha yao (kinga ya wale jamaa itahusika kutekeleza hili).
Hotuba ya Tundu Lisu hususan alipokuwa anateua Sekretarieti mpya CHADEMA, ailitamka kuacha nafasi moja ya uteuzi wa mjumbe, akielezea uwezekano wa kupokea wageni kutoka chama dola ambapo hilo lipo wazi hadi sasa.
Jambo linalochagiza wanyetishaji kupata nguvu ya hoja ya mpasuko wa ndani, ni kitendo cha CCM na viongozi wake wote kutosema lolote kuhusu Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CHADEMA. Hata Mwenyekiti wa CCM hajasema lolote hadi sasa hivyo hofu na uoga vinazidi kuongezeka ndani ya korido za Lumumba.
Ushindi wa Lisu na Heche umeleta hasara kubwa na unaweza kupelekea mabadiliko makubwa serikalini na kitengoni kutokana na uwekezaji mkubwa kufanyika na kuambulia kuvuna mabua. Inasemwa na wapenda haki ndani ya CCM kuwa, pesa iliyotumika kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni hasara na pigo kubwa sana dhidi ya CCM na Serikali. Kitendo cha polisi kushindwa kulazimisha (mbinu za vurugu) ushindi kwa mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA ni dhahiri kuwa mfumo umecheza ngoma kubwa kuliko uwezo wake. Msemakweli ndani ya chama dola anasema, kitendo cha wawakilishi wa Kibalozi ndani ya Mkutano Mkuu hadi mwisho wa zoezi la uhesabuji wa kura na uwepo wa kundi kubwa la wananchi kuzingira ukumbi wa Mlimani City ambao walikesha siku zote za Mkutano hadi ulipofungwa tarehe 22 January 2025 usiku, ulisababisha nyenzo za kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ziendelee kubaki salama ndani ya magari ya polisi 19 yaliyozingira eneo hilo wakiwa na silaha kali.
MY TAKE
- Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa na hakuna wa kuzuia
- Ushindi wa Lisu na Heche ni mpango wa Mungu
- CCM ipo hatua moja kukaribia kishindo cha MPASUKO wake
- Rushwa na mbinu zote chafu za ndani ya chaguzi za Chama vimekuwa kansa isiyopona na kuzalisha makundi na manung'uniko ndani ya chama.
- CCM ijiandae kisaikolojia kwa uchaguzi mkuu ujao kwani umma umeshaamka kupitia matukio yaliyojiri kuelekea uchaguzi wa CHADEMA ambao ulifunika kwa mbali sana mkutano mkuu wa CCM ambao umemalizika kwa kuongeza ufa wa mpasuko unaoendelea chamani
Ndiyo demokrasia. Ndiyo sauti ya watu. Wamesema kupitia sanduku la kura. Hata ingekuwa 50% kwa 50%.. Hawakutakiwa kulazimisha matokeo51% vs 49% Maana yake Chadema imepasuka Msambani yaani katikati 🐼
Kamanda mbona umepoa sana baada ya ushindi wa Lissu?!Noma sana!