Saa100 allikua na uwezo wa kukataa maana mwisho wa siku yeye ndo aliyeshika mpini wa kisu.
"Waacheni hawa wastaafu wapumzike" by JPM.
 
Huyu dingi sijawahi kumkubali hata dk 1, dingi snitch sana na sifa zake za kutaka kumridhisha kila mtu
 
Kwa hali ilipofikia katika sakata hili la DP Wprld, kuna haja ya kumuomba mzee wetu Jakaya Mrisho Kikwete atoe kauli juu ya hili.

Kwanini mzee Kikwete?
1. J. K anashikilia rekodi ya kuwa ndiye rais mwanademokrasia kuliko wote Tanzania atoe kauli kuhusu hili.

2. J. K ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika nchi hii.

Pengine kauli yake itaheshimiwa na akina Tulia Ackson anayewadharau wazee.

Muhimu zaidi tunataka kujua mzee J. K Kikwete yuko upande gani katika sakata hili.
 
Ahadi ya 35 iliyosemwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…