Yuko kwa waadzabe anawapa habari njema za DP world, endelea kusubir atakufikia na ww mkuu
 
👇👇
 

Attachments

  • FB_IMG_1688651214549.jpg
    57.8 KB · Views: 2
😄 😄 😄 😄 msoga😄😄yupoo
 
Aseme nini? Mkataba ule unaweza kusainiwa na taahira pekee
 
Fisadi Kikwete lazima atakuwa kwenye wale wamiliki wa 35%
Kumbukeni alivyotupiga kwenye gesi.
 
Hakuna wizi na scandali kubwa hapa nchini ambazo hilo jizi halijashiriki,
Huyo ndio mwizi mkubwa aliyebaki,
Ingekuwa wa TZ wamefungua kesi,huyo angekuwa shahidi muhimu sana,
Maana ndio kubwa la majambazi kwa sasa
 
Hakuna wizi na scandali kubwa hapa nchini ambazo hilo jizi halijashiriki,
Huyo ndio mwizi mkubwa aliyebaki,
Ingekuwa wa TZ wamefungua kesi,huyo angekuwa shahidi muhimu sana,
Maana ndio kubwa la majambazi kwa sasa
Ukiendelea kuwa bwege kama hivyo basi atakuibia na atakufanyia ujambazi hadi kwa mkeo, lafa wewe!!
 
Ikumbukwe Kagame amekuwa na hamu ya kumiliki Bandari ya Dar es salaam kwa miaka mingi akiamini kwamba "tumeshindwa kutumia Bandari ya Dar es salaam kutuletea faida".
Mwisho wa kunukuu....😊
 
 
Upo forodhani unauliza baharini wapi? Wewe kweli ndiyo walewale.

 
Huyo hasemi kitu, sana sana tutegemee kitu![emoji41] Akili zake anazijua mwenyewe
 
Kuna thread yangu umefutwa sasa hivi...nimeuliza kitu..kama hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…