Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Kama kijana Nimejichanga Kwa mda mlefu - nimeweza kuwa na saving ya 6million..ningependa niwekeze katika BIASHARA yoyote itakayo niingizia kipato.

kwa ugeni katika biashara nimeona niwashilikishe wadau kwa mawazo yenu nifanye piashara gani kwa mtaji wa milioni 6 na makadilio ya faida yatakuaje!?.

Natanguliza SHUKRAN.
 
Tafuta eneo zuri fungua biashara ya vyombo,au
 
Mi natafta mtu mwenye coaster used ya kufanyia biashara yenye bei nzr mwenye nayo anifate inbox

 
Mpigie Haji anauza perfume.
 
hii imevunja rekodi mkuu japo ni ya 2009 ila bado inaishi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kiboko!!

Bila shaka Mkuu huko Bongo, ni uzoefu wa siasa halisi za bongo. Ni projects za walio wengi na hasa tunapoelekea 2010 na zinalipa!.
 
Reactions: Mbu
hii imevunja rekodi mkuu japo ni ya 2009 ila bado inaishi[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]

Hakuna namna, kama mmea vile
Tuliiwekea thread hii samadi ya kutosha
Iendelee kumea.
 
fanya biashara ya kutoa mikopo kwa watumishi wa serikali tu, nafanya kazi kwenye hizi taasisi,watu wametajirika kwelikweli
hao wakopeshaji wanatumia mfumo gan kuwafanya wakopaji walipe madeni?? mana watu n wasumbfu sana kwny kulipa
 
Fungua production inalipa sana itajihusisha na mengi hapo
 
top ten wote matajiri duniani ni wasomi,
Tanzania tajiri asie msomi kwenye top 5 ni bakhressa tu ambae ni watatu
NEVER IGNORE EDUCATION ITS A LIFE SOURCE
 
Kama umepanga malizia kibanda mwaka unaofuata kusanya kiasi hichohicho fungua biashara anza na 3.5m,ongeza mtaji kulingana na mahitaji wateja wako.
Biashara ya vifaa vya pikipiki ni nzuri, unatafuta fundi pikipiki anakaa hapo nje ya duka utamlipa kulingana na kazi zake hapo njee,hii Biashara inahitaji usimamizi wa hali ya juu,ukae ww mwenyewe au wife
 
Wakuu ,.ninaomba kujua biashara iliyoko hot kwa now tz,,
Please, kwa mtaji wa 15mil.,Either coaster or restaurant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…