Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
ANZISHA UFUGAJI WA KWARE,Bado..any help?
UTAPOANZA KUUZA MAYAI YA KWARE KWA SPIDI YA ROKETI
UTAKUJA KUNISHUKURU SANA MKUU!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ANZISHA UFUGAJI WA KWARE,Bado..any help?
Hii biashara ni kweli ila ni illegal mkuu!fanya biashara ya kutoa mikopo kwa watumishi wa serikali tu, nafanya kazi kwenye hizi taasisi,watu wametajirika kwelikweli
Tafuta eneo zuri fungua biashara ya vyombo,auKama kijana Nimejichanga Kwa mda mlefu - nimeweza kuwa na saving ya 6million..ningependa niwekeze katika BIASHARA yoyote itakayo niingizia kipato.
kwa ugeni katika biashara nimeona niwashilikishe wadau kwa mawazo yenu nifanye piashara gani kwa mtaji wa milioni 6 na makadilio ya faida yatakuaje!?.
Natanguliza SHUKRAN.
je unataka investment ya muda mfupi au mrefu, specify,pili biashara hiyo utasimamia mwenyewe au unataka uweke mtu wa kuisimamia? Je unataka biashara hiyo ndo uitegemee kwa maisha ya kila siku? Uko tayari kwenda kinyume cha imani yako(kama una imani/dini) ?
Mpigie Haji anauza perfume.Kama kijana Nimejichanga Kwa mda mlefu - nimeweza kuwa na saving ya 6million..ningependa niwekeze katika BIASHARA yoyote itakayo niingizia kipato.
kwa ugeni katika biashara nimeona niwashilikishe wadau kwa mawazo yenu nifanye piashara gani kwa mtaji wa milioni 6 na makadilio ya faida yatakuaje!?.
Natanguliza SHUKRAN.
Nakuletea mpya Mimi kwa Bei nafuuMi natafta mtu mwenye coaster used ya kufanyia biashara yenye bei nzr mwenye nayo anifate inbox
Nakuletea mpya Mimi kwa Bei nafuu
Bei gani kakaBro sorry ,kwema ulinifatilia tangu mwwnzo kaka
Hii kiboko!!
Bila shaka Mkuu huko Bongo, ni uzoefu wa siasa halisi za bongo. Ni projects za walio wengi na hasa tunapoelekea 2010 na zinalipa!.
hao wakopeshaji wanatumia mfumo gan kuwafanya wakopaji walipe madeni?? mana watu n wasumbfu sana kwny kulipafanya biashara ya kutoa mikopo kwa watumishi wa serikali tu, nafanya kazi kwenye hizi taasisi,watu wametajirika kwelikweli
bro ushawah kufanya hii bussness au una mshauri tu maana nshawah kupiga hesabu kutoa mchele mkoan mpaka dar nkakuta faida inakuja 2000 kwa guniaUza nafaka utapata pesa mara 2 ya Pato la taifa.
top ten wote matajiri duniani ni wasomi,Uki calculate risk,hakuna biashara utafanya. Hata ukitoa nyanya shambani kuna sehemu gari utapata pancha,kuna time mvua itanyesha gari itakwma njiani.
Professor wangu mmoja aliniambia,
Wenye mafanikio sana sio waliosoma sana. Kwa sababu they are ready to face risk,lakini msomi wachache sana waliosoma
Nipe list ya wasomi matajiri..au kwenye list ya matajiri wa dunia,wasomi ni wa Ngapi humo?
Kila biashara ina risk zake,just calculate minimum list and let the maximum be the profit..
Finito
Kama umepanga malizia kibanda mwaka unaofuata kusanya kiasi hichohicho fungua biashara anza na 3.5m,ongeza mtaji kulingana na mahitaji wateja wako.Habari za midaa hii wadau???
Mimi ni mwajiriwa sehem flani.Kijiajira changu kinauwezo kuniingizia kama 7M kwa mwaka nikishafanya matumizi yote na kila kitu.
Sasa nimejaribu kukaa na kufikiria naweza kufanya nini kwa 7M sipati jawabu kamili.Nikaona sina budi niwashirikishe wapendwa.
Baadhi ya vitu nilivyovitathimini
1:Nitafute sehemu nifungue mgahawa wa chakula mana ninaona mazingira yanaruhusu na kuna changamoto sana ya kupata chakula kizuri na kwa wakati
2:Ninunue gari yenye thamani ya pesa hio nitafute dereva mwaminifu nimkabidhi kwa mkataba afanye taxi ama ubber
3:Nijikite kwenye kilimo cha mpunga morogoro
4:Nilime ndimu za kumwagilia zanzibar(project kubwa pesa ni ndogo)
5:Nina kibanda cha room tatu kimefika kwenye lenta.Ama nikimalizie niachane na masuala ya biashara?
Naombeni ushauri tafadhali
NB:sifikirii kuacha kazi bali ni kuweka watu wa kusimamia mpaka mradi utakapokua stable.