Nje ya mada, naona matumizi ya herufi "i" na "h" yanawatatiza watu wengi sana siku za hivi karibuni. Ingawa wengine wanaweza kupuuzia lakini hilo sio jambo la kupuuzia kwa kuwa inaleta kosa la kimantiki, neno "ila" na neno "hila" yana maana tofauti kabisa.Sasa, kama anaumwa visukari siaseme , tu hili watu tujuwe mbona kikwete alikatwa korodani hila watu ,walifahamishwa.
Nje ya mada, naona matumizi ya herufi "i" na "h" yanawatatiza watu wengi sana siku za hivi karibuni. Ingawa wengine wanaweza kupuuzia lakini hilo sio jambo la kupuuzia kwa kuwa inaleta kosa la kimantiki, neno "ila" na neno "hila" yana maana tofauti kabisa.
Mkuu sasa kwa nini umebadilisha avatar Picha yako ya ffu?Jamii yoyote iliyostaarabika mi lazima iwalinde wazee au senior citizens wao. Kwa sababu kwenye wazee ndio tunapata uzoefu na busara (with age comes wisdom and experience) ingawa sometimes age comes alone.
Wazee ni watu wenye umri mkubwa na mara nyingi kibinadamu umri mkubwa unaambatana na magonjwa mengi. Ndio maana wizara ya afya na who wanasisitiza kua tuwalinde wazee wetu kwa sababu wako susceptible na magonjwa kwa sababu wengi hua wanasumbuliwa na magonjwa mengine (other underlying medical conditions).
Rais wetu ni mzee, ana umri wa zaidi ya miaka 55, hivyo yeye na wazee wengine ndio prime suspect wa corona. Lakini pia Rais yeye ndie raia namba moja na lazima ahakikishiwe usalama wa afya yake kwa gharama yoyote. Hii ni jukumu la kwanza la kitengo maalum cha ulinzi wa rais, kuhakikisha wanafanya threat analysis zote zikiwemo za kisiasa na za kiafya za rais na kuhakikisha mzee anakua salama, kumuondoa eneo ambalo sio salama na kumficha eneo lenye usalama.
Sasa, kuna watu wanataka rais aje au arudi Dar kutokea Chato, kiusalama Dar sio salama kwa afya ya rais kwa sasa kwa sababu zilizowazi kabisa.
Tumuache Rais apumzike Chato. Hoja ya kumtaka kurudi Dar haina mashiko.
HapanaNje ya mada wewe untoka mataga party?
Museven aliyeko mstari wa mbele na Trump nadhani wote ni under 18.By the way kwani ikulu hakuna maji tiririka na sabuni?Jamii yoyote iliyostaarabika mi lazima iwalinde wazee au senior citizens wao. Kwa sababu kwenye wazee ndio tunapata uzoefu na busara (with age comes wisdom and experience) ingawa sometimes age comes alone.
Wazee ni watu wenye umri mkubwa na mara nyingi kibinadamu umri mkubwa unaambatana na magonjwa mengi. Ndio maana wizara ya afya na who wanasisitiza kua tuwalinde wazee wetu kwa sababu wako susceptible na magonjwa kwa sababu wengi hua wanasumbuliwa na magonjwa mengine (other underlying medical conditions).
Rais wetu ni mzee, ana umri wa zaidi ya miaka 55, hivyo yeye na wazee wengine ndio prime suspect wa corona. Lakini pia Rais yeye ndie raia namba moja na lazima ahakikishiwe usalama wa afya yake kwa gharama yoyote. Hii ni jukumu la kwanza la kitengo maalum cha ulinzi wa rais, kuhakikisha wanafanya threat analysis zote zikiwemo za kisiasa na za kiafya za rais na kuhakikisha mzee anakua salama, kumuondoa eneo ambalo sio salama na kumficha eneo lenye usalama.
Sasa, kuna watu wanataka rais aje au arudi Dar kutokea Chato, kiusalama Dar sio salama kwa afya ya rais kwa sasa kwa sababu zilizowazi kabisa.
Tumuache Rais apumzike Chato. Hoja ya kumtaka kurudi Dar haina mashiko.
Nyie Wazee mmeshakula chumvi nyingi sana...wacha Corona naye afanye yake!! Hasa nyie wazee wa darisalama mnajifanyaga kimbelemble saana na miguo yenu ya kijani...haya moto huo....dadadekiSerikali ya JMT na SMZ zote kwa ujumla wangeanza kutuangalia sisi wazee/katika janga hill la corona.
Maana sisi ndio tuko kwenye hatari zaidi, wengine tuna betri + kisukari+Bp .
Pia hata immunity zetu ziko chini ukicompare na vijana.
Sisi hili Taifa la Asali na maziwa, tumeshiliki kulijenga at the great extent
Serikali mtuhurumie wazee.
HILI NI OMBI LENYE KUTILIWA MSISITIZO NA KILA MZALENDO.Wakati tukiwa katika vita Kali dhidi ya gonjwa hili la corona, ingekuwa busara Kubwa sana kwa serikali kuondoa gharama za malipo ya Maji kwa kila RAIA wa nchi hii,na gharama hizo zilipwe kupitia hela za misaada tunazopewa toka kwa watu mbali mbali wanaochngia kwaajili ya vita hii.