Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Unaanzaje kufunga mipaka wakati 60% unaimport?Kwanza , niliposikia tu corona inaanza kusambaa ningefunga mipaka , hakuna kutoka Wala kuingia
Then , ningehakikisha Nina akiba ya vifaa vya kutosha kwa ajili ya kupima na kuzuia corona
Lakin , kubwa Ni hiyo ya kwanza , ningesambaza majeshi yangu mipakani Hadi vichochoroni
Haina jinsi , maana hii Ni janga , naangalia faida na hasara yaàni opportunity cost
Du iyo mialovera ungetoa wapi kutosha nchi nzima hata kwa siku 1?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake Ungeuwa uchumi kuokoa maisha ya watanzania.Haina jinsi , maana hii Ni janga , naangalia faida na hasara yaàni opportunity cost
Ipo mingi ndyo ila sio kila sehem na uwezekano kutosha kwa kila Raismbona ipo mingi.
Ni wewe tu kuitafuta na kuiponda ponda na kunywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa maana uchumi bila wananchi Ni kazi bure , watu kwanza uchumi baadae
SafiKabisa maana uchumi bila wananchi Ni kazi bure , watu kwanza uchumi baadae
Haina jinsi , maana hii Ni janga , naangalia faida na hasara yaàni opportunity cost
Kabisa mkuu. Na inakaguliwa vizuri kujua Kama ina korona 😂😂heradius12
Simple! Mizigo yao wangeipokelea mipakani na wanayo export tunachukulia mipakani!
Una akili Sana Kama mchwaheradius12
Simple! Mizigo yao wangeipokelea mipakani na wanayo export tunachukulia mipakani!
Sidhani kama wewe ni mwana sayansi na kama ungekuwa, ungeweza kuelewa kama sayansi haitumii njia moja kutatua tatizo.Hilo halijabadili sayansi hata kidogo, pamoja na kwamba halikuwa lengo la yaliyoandikwa hapo na wewe kuyaparamia tu bila kujua.
Haya sasa, hili nalo unataka tulianzishie mjadala?Sidhani kama wewe ni mwana sayansi na kama ungekuwa, ungeweza kuelewa kama sayansi haitumii njia moja kutatua tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukikaa nyumbani hizo posho huko bungeni mtalipwa na fedha kutoka wapi?Ndugu zangu,
Kumekuwa na kejeli nyingi sana kwa uamuzi wa serikali kuwaacha wananchi watoke kufanya biashara na shughuli za kujiingizia kipato huku wakichukua tahadhari.
Chadema wamesisitiza njia sahihi ni serikali kufanya kama Marekani na Ulaya au kuiga "lockdown" za kisanii Kenya,Uganda na Rwanda.
Kuna haja Mbowe na wenzie wasatangazie wananchi kuwa wakae nyumbani waache shughuli za kiuchumi ili kupata mlo ili wajikinge na Covid-19.Mara kadhaa ukisikiliza maoni ya wafuasi wa Chadema utagundua kuwa wanahamu covid-19 iuwe Watanzania ili wao wapate Kiki ya kisiasa
Wakati umefika Chadema wawe wazi kuwaeleza wananchi sera yao ya kukaa nyumbani bila kufanya kazi ili kujilinda na Covid-19.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona mnalalamikia?Tukikaa nyumbani hizo posho huko bungeni mtalipwa na fedha kutoka wapi?
Nyie Corona mmeshamzoea na hampeani heshima za mwisho!
Magu ni tapeli!!! Kakuacha wewe mpiga kura wa Sasa lakini kamuweka mpiga kura wa mbeleni (mwanafunzi) nyumbani? Kweli korona ni kawaida lakini kwanini watoto wapo nyumbani?