#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Kwanza , niliposikia tu corona inaanza kusambaa ningefunga mipaka , hakuna kutoka Wala kuingia

Then , ningehakikisha Nina akiba ya vifaa vya kutosha kwa ajili ya kupima na kuzuia corona

Lakin , kubwa Ni hiyo ya kwanza , ningesambaza majeshi yangu mipakani Hadi vichochoroni
Unaanzaje kufunga mipaka wakati 60% unaimport?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupunguza bei ya maji na mkaa ili watu wa jifukize bila gharama. [emoji23]
IMG-20200422-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... ni suala la mipango ya kitaifa. Siku yakwanza tangu kuchaguliwa kwangu afya ya wananchi lingekuwa miongoni mwa vipaumbele namba moja. Kwanza wizara husika ingepata bajeti ya kutosha na ingetolewa kwa wakati; ningesomesha madaktari na watumishi wa kutosha kada ya afya bure. Ningehakiksiha madawa na vifaa tiba vya kutosha vinapatikana na kuteua na kuajiri watu competent sekta ya afya.

Hayo yangewezekana kwa kubana matumizi katika maeneo yasiyo muhimu kwa sasa; kwa mfano daraja la juu ya bahari pale Aga Khan; ununuzi wa ndege; na maeneo mengine yasiyo ya lazima kama jeshi la polisi; sababu zisizo na mashiko na zinazopelekea kurudia chaguzi, n.k. Ningeimarisha kitengo cha maafa na kukipatia bajeti ya kutosha. Ningeimarisha au kufufua National Startegic Food Reserve. Kwa kufanya hayo, taifa lingekuwa limejipanga vilivyo kwa maafa hivyo corona ingekuwa "kaupepo" fulani tu. Otherwise, kama hakuna akiba na hamjajipanga kakabili majanga ni hatari sana.
 
Ndugu zangu,

Kumekuwa na kejeli nyingi sana kwa uamuzi wa serikali kuwaacha wananchi watoke kufanya biashara na shughuli za kujiingizia kipato huku wakichukua tahadhari.

Chadema wamesisitiza njia sahihi ni serikali kufanya kama Marekani na Ulaya au kuiga "lockdown" za kisanii Kenya,Uganda na Rwanda.

Kuna haja Mbowe na wenzie wasatangazie wananchi kuwa wakae nyumbani waache shughuli za kiuchumi ili kupata mlo ili wajikinge na Covid-19.Mara kadhaa ukisikiliza maoni ya wafuasi wa Chadema utagundua kuwa wanahamu covid-19 iuwe Watanzania ili wao wapate Kiki ya kisiasa

Wakati umefika Chadema wawe wazi kuwaeleza wananchi sera yao ya kukaa nyumbani bila kufanya kazi ili kujilinda na Covid-19.

Nawasilisha.

Tukikaa nyumbani hizo posho huko bungeni mtalipwa na fedha kutoka wapi?

Nyie Corona mmeshamzoea na hampeani heshima za mwisho!
 
Back
Top Bottom