Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Speech ya Chato ya juzi imeondoa confidence ya viongozi kutoa up dates kuhusu Corona.Ni vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.
Kadhalika kwa jiji la Dsm RC Makonda angeweka utaratibu madhubuti wa kufuatilia maagizo yote aliyoyatoa ys kudhibiti Covid 19.
Leo nimepanda daladala kutoka Posta hadi Makumbusho nusu ya abiria walikuwa hawajavaa barakoa akiwemo na kondakta.
Viongozi wetu fuatilieni haya mambo kwa karibu, Corona ni janga hatari.
Ramadan kareem!
Maendeleo hayana vyama!
Wengine kuvaa barakoa na wengine kuacha kuvaa haisaidii, kwasababu ukivaa barakoa peke yako na wengine hawavai haisaidii. Unakuwa unawaprotect wenzako lakini wenyewe hawajali kuhusu wewe. Ndo maana kwa wenzetu kabla ya kufungua sehemu za kazi wana mandate issue kama masks.Ni vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.
Kadhalika kwa jiji la Dsm RC Makonda angeweka utaratibu madhubuti wa kufuatilia maagizo yote aliyoyatoa ys kudhibiti Covid 19.
Leo nimepanda daladala kutoka Posta hadi Makumbusho nusu ya abiria walikuwa hawajavaa barakoa akiwemo na kondakta.
Viongozi wetu fuatilieni haya mambo kwa karibu, Corona ni janga hatari.
Ramadan kareem!
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo kosa lake ni kuripoti wazembe na wasiojali kama wewe? Ama unadhani kazi ya mamlaka ni ipi?Waziri hawezi kuja kukunawisha mikono kwa sabuni na maji tiririka tutakufa kwa uzembe wetu
Comments reservedKwahiyo kosa lake ni kuripoti wazembe na wasiojali kama wewe? Ama unadhani kazi ya mamlaka ni ipi?
Better reserve it.Comments reserved
Acha ujinga na upuuzi. Anakumbusha viongozi kwa manufaa ya taifa.Kwaiyo hawa vinongozi wasipoongea wewe na utu uzima wako unasahau kuwa Corona ipo na inaua mbona haya ni maajabu kwa kweli ina maana sisi mi wewe hatuwezi kujiongoza mpaka ushikiwe fimbo mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili kufikiriaKwaiyo hawa vinongozi wasipoongea wewe na utu uzima wako unasahau kuwa Corona ipo na inaua mbona haya ni maajabu kwa kweli ina maana sisi mi wewe hatuwezi kujiongoza mpaka ushikiwe fimbo mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata marekani siyo kiurahisi, ni kutapatapa tu kwa baadhi ya governors kwasababu ya uchumi. Ndo maana unakuta gavana anafungua, mayor anafunga mji wake anasema “nope, a little too quick”Watu tumetofautiana sana bwashee...... ndio maana hata Marekani wanataka kufunguliwa wakati wanakufa kila siku!
Nina uhakika umemuelewa sivyo ndivyoKwaiyo hawa vinongozi wasipoongea wewe na utu uzima wako unasahau kuwa Corona ipo na inaua mbona haya ni maajabu kwa kweli ina maana sisi mi wewe hatuwezi kujiongoza mpaka ushikiwe fimbo mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye busara wanajua korona siyo jambo la kisiasa, wasio na busara wanatumia fursa hii kutangaza siasa na kugawanya watu utafikiri wao hawawezi kuipata.
People are dying from it, it is not a source to gain sides, it is time to contribute to the fight instead of just criticising for political benefits.So what?
Wasamehe bure kuna wanasiasa wengine wanajifunza polepole ama kufanya vitu polepole 'slow learners and slow doers'Wenye busara wanajua korona siyo jambo la kisiasa, wasio na busara wanatumia fursa hii kutangaza siasa na kugawanya watu utafikiri wao hawawezi kuipata.