Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Wote kwa pamoja tuseme
TUMEKWISHAAAAAAAAAAA
TUMEKWISHAAAAAAAAAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha. Mwanangu hiyo ya sound labda 2022Ila uchore Ramani za kisasa madirisha makubwa hewa ya kutosha na pia nyumba iwe ndefu sio mgeni amesimama anajinyoosha anagusa gypsum. Pia kila chumba kiwe self contained ndio tunavyojenga mjini. Sebule na jiko view na nafasi ya kutosha
Ukimaliza uje mjini nikupeleke maduka ya flat screen ya inch 72 unafunga na sound bar ya watts 1000. Unafurahia Maisha katika mwanga bora kabisa
Mbona laki nane tu unapata. Jenga nyumba ishi mambo ya kujidhiki wakati Maisha yenyewe mafupi yalishapitwa na wakatiHa ha ha. Mwanangu hiyo ya sound labda 2022
Hahah hesabu kwny makaratasi hua zinavutia sana.Jenga..ukipata lidandasi utauza nyumba mara mbili ya bei..
Funguka vizuri mwambaHahah hesabu kwny makaratasi hua zinavutia sana.
Ila uchore Ramani za kisasa madirisha makubwa hewa ya kutosha na pia nyumba iwe ndefu sio mgeni amesimama anajinyoosha anagusa gypsum. Pia kila chumba kiwe self contained ndio tunavyojenga mjini. Sebule na jiko view na nafasi ya kutosha
Ukimaliza uje mjini nikupeleke maduka ya flat screen ya inch 72 unafunga na sound bar ya watts 1000. Unafurahia Maisha katika mwanga bora kabisa
Mkuu natofautiana na wachangiaji wengi, hii corona ni vita isiyokuwa na kelele na kabla vita haijaisha nani awezaye kujua kama atabaki salama au laa?Pamoja na kuwa una kiwanja hiyo 9m haiwezi kujenga na kumalizia nyumba unayoitamani unless unataka kujenga banda, kwani ukijenga nyumba unayoitaka utaishia mahali flani na utajikuta hela huna na kuishi kwenye hiyo ambayo haijakamilika pia huwezi ( faida yake ni nin?)Ndugu zangu wapendwa,kwanza tupeane pole kwa janga hili linalotukabili kwa sasa.
Nimekuja kwenu naomba msaada wa ushauri. Mimi ni mtumishi wa umma,tangu mwaka 2018 nilipanga nipambane kutafuta vijisenti ili mwaka huu mwezi wa tano nianze kujenga kabanda kangu kakuishi. Nimezichanga weee nina kama m 9,kiwanja ninacho na tofali ninazo sasa najiuliza weee majibu sipati. Janga la corona linanichanganya,niko mkoa wa Njombe. Najiuliza kama corona ikaendelea kwa muda mrefu serikali ikayumba kiuchumi watumishi tukapata lidandasi (kuachishwa kazi) na hela hiyo nikawa nimeshapeleka kwenye ujenzi yote hii familia nitaiendesha vipi?
Nianze ujenzi au nisubiri corona ipite? Nimechanganyikiwa.
Ushauri wenu great thinkers.
wazo lako lingekuwa zuri kama angekuwa hana familia. Ukisha kuwa na familia makazi ni kitu cha kwanza.Mkuu natofautiana na wachangiaji wengi, hii corona ni vita isiyokuwa na kelele na kabla vita haijaisha nani awezaye kujua kama atabaki salama au laa?Pamoja na kuwa una kiwanja hiyo 9m haiwezi kujenga na kumalizia nyumba unayoitamani unless unataka kujenga banda, kwani ukijenga nyumba unayoitaka utaishia mahali flani na utajikuta hela huna na kuishi kwenye hiyo ambayo haijakamilika pia huwezi ( faida yake ni nin?)
Ushauri wangu kwa kuwa wew ni mtunzaji mzuri na umeweza kutunza mpaka ikafika 9m endelea kutunza ili hali itakvyokuwa itakusaidia kujikimu na familia kwa kipindi ambacho hali itakuwa imekaa vbaya kutokana na janga hili la corona, usidanganyike na maneno ya kuwa corona itapita ndio itapita lakini itapita na nani? ukimwi unaua kwa miaka 30 corona inauwa kwa miaka mingapi? Nungana na mkuu hapo juu alieshauri kuhusu social distancing fikiria kuhusu familia yako kwa sasa na sio kitu kingine kwa sasa corona ni hatari kuliko kitu kingine chochote.ukitaka kupona """"""""kaa nyumbani kwako""""""
Jilinde na corona tuuuu we na familia yako maendeleo HAPO Shukuru una cash ya kujikimuNdugu zangu wapendwa,kwanza tupeane pole kwa janga hili linalotukabili kwa sasa.
Nimekuja kwenu naomba msaada wa ushauri. Mimi ni mtumishi wa umma,tangu mwaka 2018 nilipanga nipambane kutafuta vijisenti ili mwaka huu mwezi wa tano nianze kujenga kabanda kangu kakuishi. Nimezichanga weee nina kama m 9,kiwanja ninacho na tofali ninazo sasa najiuliza weee majibu sipati. Janga la corona linanichanganya,niko mkoa wa Njombe. Najiuliza kama corona ikaendelea kwa muda mrefu serikali ikayumba kiuchumi watumishi tukapata lidandasi (kuachishwa kazi) na hela hiyo nikawa nimeshapeleka kwenye ujenzi yote hii familia nitaiendesha vipi?
Nianze ujenzi au nisubiri corona ipite? Nimechanganyikiwa.
Ushauri wenu great thinkers.
mkuu hii yako ni zaidi ya stess.Ndio vizuri, wacha Meko atie akili..
Alifikiri kuongoza Nchi ni kusifiwa na kunyanyasa Wapinzani hasa Chadema..
Pumbavu zake.
SawaMleta mada,makampuni kote ulimwenguni mpaka sasa hayana uhakika na kesho yao,achana na hali ya Tanzania bali hali iliyopo dunia nzima.mashirika ya uchimbaji mafuta yameshaipata fresh ya unga,hayajaipatia hapa tz bali ulimwenguni kote.
Wakati unawaza madhara ya corona tz hasa dsm,yenyewe inagonga dunia nzima kwa ujumla,so achana na ndoto za mombasa sijui mmaputo nk.
Mleta mada,makampuni kote ulimwenguni mpaka sasa hayana uhakika na kesho yao,achana na hali ya Tanzania bali hali iliyopo dunia nzima.mashirika ya uchimbaji mafuta yameshaipata fresh ya unga,hayajaipatia hapa tz bali ulimwenguni kote.
Wakati unawaza madhara ya corona tz hasa dsm,yenyewe inagonga dunia nzima kwa ujumla,so achana na ndoto za mombasa sijui mmaputo nk.