Donald Marcus Hemu
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 372
- 535
Shukrani sana mkuu tumekuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuu tumekuelewa
Watu walivyo wabishi sasa!
We are doing that, but with this kufunga, ndipo utaamini msemo kuwa religion abhors science! Naona nyumba zimejaa saa kabla ya futuru!Wakuu:
Tuache mzaha msidhani yanayotokea duniani huko ni hadithi hapana tuanzie na hapa jukwaani tuwaelimishe ndugu zetu walio vijijini na mijini juu ya janga hili na tuwakumbushe kila wakati wachukue tahadhari muhimu ikiwapo kuepuka misongamano, kunawa mikono mara kwa mara tuhakikishe tunawasisitiza juu ya hayo ili kuepusha vifo, na wasitoke bila sababu
Ukiiokoa familia yako basi umeokoa taifa kwa ujumla, #Sema na familia yako juu ya Janga La CORONA#
WAtanzania Tusiishi Kwa Mazoea.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtaani ni kama hakuna Corona watu wanacheza draft kama kawaida, Malaya wapo vijiwe vyao kama kawa, watu wameacha kuvaa mask
Watanzania ni Watu wa kulalamika hawatakuelewa
🖕Hizo hofu na uongo mnaolishana kuhusu corona Acheni mara moja
Corona inaelekea kuthibitiwa Tanzania
Chadema acheni kutumia corona kisiasa mtaaibika
Mnatuulia ndugu zetu kwa ukaidi wenu wa kuthamini Pesa na Uchumi, mnafanya mashindano ya Uhai Vs Uchumi. Endeleeni tu, tutakutana kwenye uchaguzi mkuu.Jamaa wa ufipa wanaamini itawapita na wao hawatadhurika.
Acha kuongea ujinga wewe kamanda uchwara.Mnatuulia ndugu zetu kwa ukaidi wenu wa kuthamini Pesa na Uchumi, mnafanya mashindano ya Uhai Vs Uchumi. Endeleeni tu, tutakutana kwenye uchaguzi mkuu.
JILINDE UMLINDE JIRANI bila kusubiri amri au/na kusimamiwa na mamlaka.
they want us to die...kuna mbunge wa CDM amezuiwa na polisi kugawa barakoa/ppe kwa wananchi huko Morogoro.