Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nadhani limeona post zetuafadhali lfe litoe mfano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani limeona post zetuafadhali lfe litoe mfano
Neno linalostahili hapa ni Takataka!Walimcheka wakamkeehi pale aliposema jamani tusitangaze idadi ya vifo wala maambukizi ya corona tutangaze wanaopona tu lakini takribani week moja mbele ushauri wake unafuatwa kimyakimya na heshima ya nchi yetu imeongezeka sana in a week
Dunia nzima inapigwa na butwaakwa namna gani Tanzania kwa mwezi na nusu ina vifo kumi tu ingawa wanatudharau
CORONA COUNTER INTELLIGENCE(CCI)
Tuchukue hatua gani? Toa pendekezo
Kwa sasa hv hakuna solution zaidi ya, self isolation, na social distancing. Jiokoe mwenyewe uokoe wengine hakuna dawa chukua tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
mizaha ya kipumbafu sana hii