Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Watakutana na Wakwangu wakiwa na Bahasha kutafuta kazi ya mshahara wa laki tano.Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.
Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k
Elimu nzuri ni gharama.
Wako kasoma kwa milioni 50 wangu kasoma kwa 1M tu.