Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,557
- 1,992
Kwani hao wa U -dom kawafanya nini?
Kamaliza form 4 2011 , 2012- certificate, 2013-2014-diploma, 2015- mwaka wa kwanza, 2016- mwaka wa pili , yupo sahihi chuoHuenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Akifukua kaburi moja na wenzie wanafumua kumi.....alidai jk kamuachia mizigo kumbe na yeye alimpelekea jk mizigo pale UDOM @faizafoxy,@ritz,@pasco,@lizaboni,Simiyu Yetu,RuttashobolwaDah! Aisee mkubwa hilo alipitiwa
View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
Huyu mtoto inadaiwa kuwa hayo matokeo aliyopata baba yake alipiga sana na ikaleta mgogoro mkubwa kwenye family! Baada ya hapo nadhani ujanjaujanja ukafanyika hadi "KILAZA" akatumia resource za wanaostahili kupata akapewa yeye!!
Hajawafanya kitu.
View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
Kama vielelezo hivyo vina ukweli basi JPM anastahili kupongezwa kwa kusimamia haki na ubora wa elimu, kiasi cha kutumbua majipu hata ya kwenye kwapa za yake wa damu!! Wengine km wa kule mtaa wa 'viongozi vivuli' wasingekuwa na uthubutu huo!!
Kwa hiyo unataka sema kuwa Janet ni JIIIIPUNdugu umekurupuka mbayaaaaa....soma mada upya hapa, hakuna asiyejua ulichoandika bali tatizo mwanafunzi aliyemaliza form four 2011 akafeli kisha kuingia degree 2014 haiwezekani kabisa labda angekunja kwa kurisiti kisha asome form 5-6 kwa mwaka mmoja hapo sawa ila kupitia NACTE means ana diploma jiulize na akili zako kwa miaka hiyo inawezekana??? Angekuwa kamaliza form four 2010 akafeli hapo ingewezekana kwani angepiga certificate na diploma miaka mitatu na 2014 angeingia degree lakini kwa 2011 ni ngumu kabisa
Umetoa ufafanuzi mzuri ila shida ni kwamba yeye yupo mwaka WA pili ambapo kihesabu haiji kwa mtu aliyemaliza form four 2011 na kupitia certificate na diploma kwa miaka mitatu, kiuhalisia ilitakiwa awe mwaka WA kwanzaHuo mnaoueneza ni uongo ,DV 4 kwa mtu mwenye D 3 na C moja unakwenda chuo kikuu bila kupingwa ,unafuata hatua zifuatazo unakwenda certificate mwaka mmoj Then unaingia diploma miaka miwili,ukitoka unakwenda kusoma degree,Au option nyingine unaweza kwenda ualimu grade one,then unakwenda diploma,then degree...Tatizo kabla hamjatoa hoja chambua kwanza ndugu
Mtoto wa makufuli kapata div four!!! Na yeye ni jingalao kama weweMsije mkaumbuka tu pale ufafanuzi utakapowekwa wazi...hizi ni zama za ukweli tu
Kumzidi makufuliUNATAKA KUSEMA ANAJUA KIZUNGU KUMZIDI .........
wapo chuoni wanaendelea na masomo?
Mbona baba ake anawaita wale wa udom vilaza???Maisha ya huyo Dogo ni ya kwake. Na huenda akawa na maisha mzuri regardless div. IV yake. Do your own for ur success
2011- form 4Tatizo ni sasa hivi yuko mwaka wa pili badala ya kua mwaka wa kwanza.Angeanzia Cheti sasa hivi ndio angekua mwaka wa kwanza.