Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Sawa mkuu.Huo ni uhuru uliopitiliza. Incase you didn't know...
Mtu yeyote akiwa hai...lazima awe chini ya SHERIA. Na akifa ndio anakua juu ya SHERIA.
Kwahiyo ndio kusema....kama ukitaka kutoa sadaka ya kujimaliza...basi lazima ufanye hivyo 100% ( no pumzi, no sauti) ..
Lakini ukishindwa kujitoa uhai, basi lazima SHERIA itachukua mkondo wake naturally. Hakuna mjadala!!!
Mimi nilishanuia...siwezi kutoka ndani ya nyumba yangu na kwenda kutafuta riziki pasipo kutenda jambo jema njiani. Napenda sana kusaidia watu hata bila kuombwa msaada. Napenda kusitiri watu.
Wakati mwingine naweza kumuona mtu anashida na hajasema....nikamvuta pembeni...nikamsaidia. Au nikamsaidia mtu pasipo yeye kujua.
Iko hivi....Mungu katuumbia AKILI pamoja na HISIA. Kwenye akili akaweka UTASHI, na kwenye HISIA akaweka UPENDO.Hivi ulivyoandika vina uhusiano gani na mtu kujirusha majini kwa nia ya kujiua?
Well saidZoezi La Utayari Hawakuwepo Kumuokoa Huyo Mtu
Watu Wana roho mbaya sana. Mtu mzima mpaka akapanda , mpaka akachupia ndani ya maji...tena usikute kuna mijitu ilitoa simu kumrekodi ili irushe ticktockSo sad
Alipaswa aokolewe
Jaribu kuwaza huyo ni baba yako,
Kabisa lazma majiran,ndugu au marafiki lazma walikuwa wanajua shida ya ndugu yao kwasababu matatizo yanajitangaza ila walikaa kimyaa.Iko hivi....Mungu katuumbia AKILI pamoja na HISIA. Kwenye akili akaweka UTASHI, na kwenye HISIA akaweka UPENDO.
AKILI Kazi yake ni kuulinda mwili wako na Hisia ni kwà ajili ya kuuongoza mwili wako.
Nataka kusema nini...."kama una akili timamu na Hisia zilizo kamilika,...utampenda jirani Yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.
I mean, kabla ya huyo jamaa kujirusha majini..Mimi Mzee Kipusa, kwà dhati ya moyo wangu...nina amini majirani zake walipata alerts...lakini wakashindwa kumuokoa kwasababu ya kuongozwa na mahisia mabaya yenye roho mbaya.
Ndugu zangu...tupendane. HII NDIO AMRI KUBWA KATIKA KUISHI KWETU.
Maan hapo ni kupiga kelele kivuko kinasimama ukozi unafanyika..@Mzee kipusa kwann ulitaka kujiua.Watu Wana roho mbaya sana. Mtu mzima mpaka akapanda , mpaka akachupia ndani ya maji...tena usikute kuna mijitu ilitoa simu kumrekodi ili irushe ticktock
Shauri yake ...atajijua mwenyewe!..tena akome kabisa.....usikute ndio walikua wanamuwazia hivyo.Kabisa lazma majiran,ndugu au marafiki lazma walikuwa wanajua shida ya ndugu yao kwasababu matatizo yanajitangaza ila walikaa kimyaa.
Hii ni dhana tu lakini uhuru wa mtu lazima uheshimiwe , vichaa wenyewe wanavuka barabara kwa akili mjini hukuwengine wagonjwa wa akili
Hii content ya "Afya ya akili" ishaisha muda wake ...sasa hivi content ni "Ushoga".Hii ni dhana tu lakini uhuru wa mtu lazima uheshimiwe , vichaa wenyewe wanavuka barabara kwa akili mjini huku
Kuna wengine,mapenzi tu inawafanyaSad! Kuna mambo/matukio kwenye maisha kama mtu huna roho ngumu basi unaishia kufanya kitu kisichofikirika [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dahNi mwendo wa kujirusha rusha masela ruka haaaaaa kwa mizuka ingia kati serebukaaaa