hapo inaonesha wewe unatokea kijijini kwa kuwa huyo ndugu yako hamuonani mara kwa mara ni hadi upange safari pengine mara moja kwa mwaka au miaka. Beba hicho unacholima.....mazao, wanyama nkHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Hapa sasa wewe ndio unajishtukia naonaMkuu inaonekana umekwazwa sana na bandiko langu. Pole
Sijalima, na mahindi pale ndio kwao
Halafu hata yeye anafuga
😂😂
Hakuna Haja Ya Kujitutumua Kwa Aliyekuzidi,,Hakuna Kwenda Na Chochote..Lakini Hakikisha Wewe Ndio Unaondoka Na Chochote Kutoka Kwake...
Sawa mkuu asante kwa mawazohapo inaonesha wewe unatokea kijijini kwa kuwa huyo ndugu yako hamuonani mara kwa mara ni hadi upange safari pengine mara moja kwa mwaka au miaka. Beba hicho unacholima.....mazao, wanyama nk
lakini pia unaweza tu kumpa taarifa na usibebe chochote.
Beba mazao ya chakula chochote au nyama na samaki mpelekee km sadaka sio utajiri ni kutoa tu na moyo wako uwe umeridhika hata yeye atafurahi kuona umepeleka kidogo ulichonacho kwenye kile kingi alichonacho na km ana moyo mzuri pia atakufungia mara 2 ya kile ulichopeleka urudi nachoSawa mkuu asante kwa mawazo
Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Au chikandi, nimekumbuka kwetu.Mangatungu
😁😁 Toa mawazo baby sisy
Vitu hivi ni,kumbukumbu tosha..😀Au chikandi, nimekumbuka kwetu.
Nikiamua kufuliza kupika mangatungu, aloooh.
Mahi umeishi songea, na huyajui mangatungu?? AaahNdio manini
Ampelekee hata Madonga na masuku.Vitu hivi ni,kumbukumbu tosha..😀
Vikawekwe store ya nje mpaka viozee hukooo siku wanafanya deep cleaning ndo wanakutana navyo😄Kama unatokea kijijini
Beba hata karanga.
Unga, nk.
😂😂😂 wewe mangatungu sio maharage, ni Upupu ule.Maharage yasiyo na Gas mazuri sana
Huja amua TU andaa 35,000 nauli juu yako nipo dar es salamaWazo zuri ila kuku wa kienyeji katikati ya jiji unampataje?
ThanksBeba mazao ya chakula chochote au nyama na samaki mpelekee km sadaka sio utajiri ni kutoa tu na moyo wako uwe umeridhika hata yeye atafurahi kuona umepeleka kidogo ulichonacho kwenye kile kingi alichonacho na km ana moyo mzuri pia atakufungia mara 2 ya kile ulichopeleka urudi nacho
🤣🤣Acha kabisa kuna watu wanakosa vitu adimu..Madonga zamani liliwahi kuni bana Ngozi ya mkono wakati nalipasua🤣 na ili nijitoe lazima niligonge tena Aiseee Ile siku🤣Ampelekee hata Madonga na masuku.
😂😂😂😂