Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

🀣🀣Acha kabisa kuna watu wanakosa vitu adimu..Madonga zamani liliwahi kuni bana Ngozi ya mkono wakati nalipasua🀣 na ili nijitoe lazima niligonge tena Aiseee Ile siku🀣
Kilikurambaa eeeh, na ukipasua vibaya na haraka mbegu zinaanguka chini zote.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Upupu, ila huu hauwashi sana, una menya zile mbegu zake ndio unapika, ila yana sumu, ko unaweza chemsha hata siku 2, huku ukimwagisha maji. Unahakikisha hadi maji meusi yamekata, maji ya kahawia yamekata, yabaki meupeee, ndio yameiva na sumu imetoka.
😁😁 Daah...kuna ulazima wa kuyala?
 
😁😁 Daah...kuna ulazima wa kuyala?
Sio lazima, ila kwetu tumeshazoea na yana bei wanaouza, kikombe buku, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema mie ndio mkali wa hiyo kazi, nikiamua kufululiza ni bandika bandua.
Matamu sana, unaweza lia ugali, au wali, au yenyewe tu kwa kachumbali na chachandu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😁😁 Hicho sio chakula mnalazimisha tu. Mbaya zaidi hayo mambo mnafanya kwenye moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini kwenye neema ya vyakula. Mnatuangusha 🀣🀣🀣
 
😁😁 Hicho sio chakula mnalazimisha tu. Mbaya zaidi hayo mambo mnafanya kwenye moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini kwenye neema ya vyakula. Mnatuangusha 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huku sisi hatuachi kitu.
Aloooh
 
Kumbe ni ndugu!! Kidogo niseme "ile kitu namesa mwensake".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…