Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Alafu leo kumbea mvua ndiyo wanaonekana mashujaaa
Kwako shujaa ni Baba Askofu Mwamakula?
Mufti anatuomba tusali kuombea mvua WAKATI Askofu Mwanakula anatuomba tufunge kuombea Katiba Mpya. Unaona tofauti ya pumba na mchele
 
Nchi za kiisilamu ndizo zinaongoza kwa ukame na majangwa.
Wao wenyewe kwa hiari yao waliamua kuishi jangwa toka miaka hiyo dunia ikiwa pori na ikiwa haina mipaka ila hawakukosea wanaishi juu ya utajiri wa mafuta na gesi
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Hongera kwa Mufti Zuberi abarikiwe sana. Mungu habadiriki corona ilikuja na itaondoka bado tupo na Mungu yupo maombi ya mvua yatajibiwa pia.
 
Kwako shujaa ni Baba Askofu Mwamakula?
Mufti anatuomba tusali kuombea mvua WAKATI Askofu Mwanakula anatuomba tufunge kuombea Katiba Mpya. Unaona tofauti ya pumba na mchele
Akili ya lumumba utaijua kupitia michango yake.
 
Wao wenyewe kwa hiari yao waliamua kuishi jangwa toka miaka hiyo dunia ikiwa pori na ikiwa haina mipaka ila hawakukosea wanaishi juu ya utajiri wa mafuta na gesi
Kama ni hivyo sasa maombi ya mvua yanini? Waombe tupate mafuta na gesi.
 
Unatangulia mbele ya wakati tulioko....kwani amesema akishaomba tu ni lazima mvua inyeshe?!!!

Hivi wewe/mimi/wengine tunaomba mengi mangapi na bado tu tuko njiani kuyasubiria?!!!
Kama sio lazima kwanini aombe?

Huyo kaishajua kupitia TMA kwamba siku kumi zijazo inatarajiwa mvua kunyesha sasa yeye kutaka kuwakamata mambwiga ionekane ni muujiza kaitisha maombi
 
Unataka kuwafanya viongozi wa DINI ni masakala eee?!!!

Kwani wanaipinga sayansi?!!!

Iweje waipinge sayansi huku wakitumia simu,vipaza sauti ,maspika kufikisha jumbe MBALIMBALI?!!!

Viongozi wa DINI huipinga sayansi yenye kwenda kinyume na kanuni za maumbile na yenye kuleta "nakama" na hiliki kwa binadamu na viumbe tu......

Siempre JMT
Kazi Iendelee
Kwa hiyo kwenye
Corona twenda na Chanjo
Mvua twende kwa Mungu
Mungu anapaswa kutegemewa kwa kila jambo siyo kuanza kubagua mambo

Ww unamuabudu Mungu gani?
Mi ninamuabudu Mungu anayeweza aliyefungua macho ya vipofu wakapata kuona , aliyewaponya vilema wakatembea , aliyeponya Ukoma,aliyetembea juu ya maji.
Mwenye Jina “Mimi niko ambaye niko”
Ukienda kwenye Corona yupo atakuponya, ukienda kwenye Mvua yupo atakupa, chochote ukifanyacho yeye yupo
 
Unatumia nguvu kubwa sana kwa Jambo lililo dhahiri kabisa....kwani naye hakusema "jisaidieni nami niwasaidie"?!!

Chanjo hazijaanza jana kwa maneno yako pia ni kumkosea Mungu Muumba kuwachanja watoto wetu kule RCH.....
 
Kama sio lazima kwanini aombe?

Huyo kaishajua kupitia TMA kwamba siku kumi zijazo inatarajiwa mvua kunyesha sasa yeye kutaka kuwakamata mambwiga ionekane ni muujiza kaitisha maombi
Ni TMA hiyohiyo iliyotuambia mvua chache zingeanza takribani wiki chache zilizopita.........je zimenyesha?!!!

Unazunguka sana kwani hayuko binadamu mfanya MIUJIZA....bali binadamu humwomba Mungu Mwenyezi kuifanya hiyo miujiza........

Mungu Mwenyezi huombwa hata kupitia dini za jadi na matambiko na akitaka hutekeleza hayo maombi.......
 
Back
Top Bottom