Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Unajua baadhi yenu mna shida ya akili
Miaka hata yeye kapoteza si wewe tu
Huu ni ubinafsi
Na we ukijibu vibaya uuwawe??!
 
Dogo unaongea kiwepesi sana shida haujawahi kupitia mambo kama nayo....kuna mzee wetu mmoja alikuwa analaani mno kuwachoma wezi moto ila Kuna siku aliibwa pikipiki yake wakati ina miezi miwili tangu ainunue alisikitika sana chakushangaza saivi ni miongoni mwa wanaosapoti mwizi akishikwa na ikathibitishwa ni mwizi kweli apigwe moto
 
Hapo lazima kutakuwa Kuna issue ya wivu wa kimapenzi, inawezekana kweka alikuta jumbe tatanishi au alihisi nje kuna mtu anajipakulia minyama
Huyo mke wake ni dizaini ya wale wanawake ambao wana nyama laini , yaani utadhani maji ya kandoro yaani ni mlaini balaa,namuona, huyu kutongozwa alikuwa na mtu
 
Mali zinasingiziwa, hapo kuna kitu kingine..!!

So sad kwa watoto bado wadogo mno.

Wanaenda kuishi bila ya wazazi 😥
Nionavyo mimi hawa walikuwa na ugomvi ambao ilifikia hatua wameamua kuachana tatizo kila mmoja anataka mwenzie ndio asepe, utata ukaja hapo maana dada wa kazi anasema mwanamke alitaka nyumba iandikwe jina lake na watoto.
 
Wakristo wanaachana ila mlolongo wake si mchezo, hadi papa athibitishe, kuna familia moja iliandika barua ya kuachana 1992 papa akaja kuwaruhusu 2000.
 
sawa
 
JUZI KATI HAPA NILIWAAMBIA SULUHISHO LA HAYA NI NYUMBA NDOGO....
Sasa huyu bwashee ndio kafanya nini,,,,,,, mwana kashindwa jizuia manake aliwekeza hisia kwa kiwango kikubwa...kama angekuwa na nyumba ndogo haya yasingetokea....hasira zikipanda unapotelea nyumba ndogo kwa kitambo mpaka upone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…